Maeneo mazuri kwa biashara ya nyama Dar

Mkuu biashara ya nyama ni pana ,je unataka kuanzisha bucther au nyama choma
Kama ni butcher tafuta eneo karibu na stand ambako watu wengi wanashukia au wanapandia magari ,na uangalie bei zako kama zinaendana na uwezo wa walaji .Hii ni biashara huria unaruhusiwa kutengeneza bei yako
Kama ni Nyama choma ,nadhani wanywaji ni watu wazuri wakula nyama ,kwa hiyo lazima iwe kwenye bar yenye watu wengi.Siku hizi bar inaweza kua na majiko kadhaa na kila mtu akajua bei yake
So all the best mkuu
 
Back
Top Bottom