Msaada usajili wa jarida/magazine nchini Tanzania

Matanzia kizebazeba

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
654
630
Ndugu wanajamvi msaada kwa kipi cha kufanya ili kuweza kufanya usajili wa jarida /magazine.

Nataka kufanya ujasiriamali kwa uzalishaji wa magazine ni nn cha kufanya ili niweze kucomply na kuweza kuingiza sokoni, gharama za compliance pia msaada please
 
Back
Top Bottom