Vodacom Huduma kwa wateja MPESA mnakera

mezanane

Senior Member
Apr 11, 2011
116
185
Wadau usiku huu leo nimekereka sana na wahudumu walio zamu Vodacom huduma kwa wateja M Pesa. Yaani unapiga simu 100 unachagua kuongea na mhudumu unawekwa kwenye foleni then mziki unakatwa maana umeundanishwa na Mhudumu. Cha ajabu Mhudumu hazungumzi chochote kwa dk 7 unakata matokeo ni hayo hayo. Jamani tutafika chukueni hatua sio biashara na hampo pekee yenu sokoni.
 
Back
Top Bottom