D
Deleted member 421398
Guest
Kwa mliosoma masomo ya biashara na uchumi pia na wale ambao ni wafanyakazi wa makampuni ya simu yanayofanya kazi Tanzania hata nje ya Tanzania leo nina swali kwenu kama ifuatavyo.
Binafsi natamani sana kama siku moja makampuni ya simu yakiwa na huduma ya kununua salio kutoka sehemu moja kwenda nyingine kwa maana hii ifuatayo:
1. Kuweza kununua salio la muda wa maongezi kutoka akaunti ya pesa mfano ( Tigo-pesa) kwenda (M-Pesa) na kwa makampuni mengine pia
2. Kuweza kununua vocha ya muda wa maongezi kutoka kampuni moja kwenda jingine kama hoja namba 1 hapo juu inavyosema
Lengo la kusema hayo ni katika kujaribu kusogeza huduma zaidi kwa wateja wa mitandao hiyo endapo mtu ana kuwa na salio kampuni fulani bhasi aweze kufanya na kwingine kama walivyoweza hudumua ya kumtumia mtu salio alie vodacom kwenda tigo kwa mfumo wa M-pesa na Tigo-pesa.
Ni kwanini hiki kitu hakipo na kama kina madhara ni yapi kibiashara ama kiuchumi kwa ujumla wake?
[HASHTAG]#thelawyer[/HASHTAG]