Nikianza kwa kunukuu maneno ya Rais Kikwete kuwa zao la minazi limepatwa na " Ugojwa usiotibika kwa sasa ",nakuwataka wakulima wa zao la mnazi kulima kokoa kama zao mbadala .Wazo kama hili si geni...
kwa muda mrefu ss mm pamoja na wachumi wnaharakati wenzangu wa chuo cha kumbukumbu ya mwl nyerere(mwl nyerere memorial academy) tumekuwa tukifuatilia kuanzishwa kwa jukwaa la wachumi(economics...
Wana JF . . . naamini humu kuna wachumi waliobobea. Nataka nifahamu, mfano Tanzanian Shillings ipande thaman mpaka kufikia dola moja ya kimarekani, 1 US $ inabadilishwa kwa Tsh 4. Hivyo mwenye Tsh...
Naamini swali langu litajibiwa,
Nimekulia Mwanza utotoni na ukubwani nikahama kutafuta maisha kona zingine za nchi. Ninakumbuka wakati fulani hapa nchini kulikuwa na mafuta ya kupaka kwenye...
Ndugu wazalendo,
Labda kuboronga kwa viongozi wetu kupo ndani ya DNA yetu. Juzi katika vijiwe vyangu. Mdau akawa anabonda viongozi wa Tanzania. Mara akapokea simu kutoka bongo. Katika mazungumzo...
Wachakachuaji mafuta sasa cha moto Januari
Imeandikwa na Mwandishi Wetu; Tarehe: 22nd December 2010 @ 23:55
WAZIRI wa Nishati na Madini, William Ngeleja ameiagiza Mamlaka ya Udhibiti wa...
Nafikiria kuanzisha day care hapa Dar lengo hasa likiwa ni kwa ajili ya watoto ambao hawajaanza shule.
nimepata tu wazo ila kwa kweli sijui ni wapi ntatakiwa kuanzia namaanisha kwa vitu kama...
Salaam, mimi ni mteja wa huduma za mtandao wa TIGO kwa muda mrefu.nimekuwa nikitumia mtandao huu tangu enzi za mobitel ,buzz,na sasa Tigo. Kwa masikitiko yangu mtandao wa Tigo pekee ndio hauna...
Wizi kupitia huduma ya M-Pesa ulioanza kujitokeza nchini kenya si ajabu akaanza kufanyika pia ndani ya nchi yetu hivyo tujitahidi kuchukua tahadhari!! soma visa vifuatavyo hapo chini ili yasije...
Serikali kupitia EWURA imeridhia ongezeko la 18% ya bei ya umeme kuanzia January mwakani. Hilo ni pigo kwa mtumiaji na tayari ongezeko hili litakuwa na athari katika uchumi wetu. Wahanga wakubwa...
Wanajamvi,
Magazeti mengi ya leo yameandika juu ya hali hii ya kutisha ya kupanda kwa bei ya UMEME kwa asilimia 18.5 ya bei ya sasa...Zoezi hili linaanza mapema Januari 2011, na lina baraka zote...
Gavana wa Banki Kuu alipokuwa anatangaza kuanza kwa matumizi ya Noti mpya hapo January Mwakani 2011, alisisitiza hakuna mda maalumu wa mwisho kubadilisha matumizi ya hizi Noti zinazotumika sasa...
US embassy cables: Swiss tip points to uranium smuggling out of Dar es Salaam
# guardian.co.uk, Sunday 19 December 2010 21.30 GMT
Summary
1. A senior Swiss diplomat tells his American...
By ALVAR MWAKYUSA, 19th December 2010 @ 23:07, Total Comments: 0, Hits: 87
AN international charity organization, ActionAid, has released a scathing report accusing the Tanzania Breweries Limited...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.