KUUZA TSHIRT ZA DOWANS/katiba mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KUUZA TSHIRT ZA DOWANS/katiba mpya

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by utiyansanga, Jan 18, 2011.

 1. u

  utiyansanga JF-Expert Member

  #1
  Jan 18, 2011
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 214
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna wazo la biashara linanijia lakini sina mtaji ,ngoja niwauzie wanachama hapa watanipoza kidogo!
  Nchi sas hivi inazizima kwa masual ya katiba mpya na malipo ya dowans..ukitengeneza tshirt ukaandika TUNATAKA KATIBA MPYA na au HAKUNA KUWALIPA DOWANS!Utauza wewe!ila usinisahau mtoa wazo.HII ITASAIDIA WATANZANIA KUPATA UJUMBE HUU MUHIMU KWA MAISHA YETU.
  nawasilsha
   
 2. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #2
  Jan 18, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  tatizo pa kuuzia usikamatwe na usalama wa JK,usalama-Tigo,na visadi camp
   
Loading...