Kitendo cha kubadilisha notes ni sawa na kuongeza fedha katika mzunguko huu wa kasi ndogo uliopo sasa. Na hii inahashiria kutokuwa na usawa katika Pato la Taifa, thamani ya bidhaa pamoja na huduma...
Juzi nilikuwa ktk maduka ya kubadilisha fedha za kigeni (Bureau de Change) maeneo ya posta, nimeshangazwa sana jinsi madafu ya bongo yalivyokomaa dhidi ya US$, nilitegemea ningebadili kwa Tsh...
Nasikia BoT wanataka kuanzisha noti nyingine, tena ni noti ya shilingi elfu hamsini? Kama ni kweli hii ni dalili ya nini kwenye uchumi na dhamani ya sarafu yetu?? Msaada wajameni
Zamani SIDO ilikuwa inasimamia na kuendesha viwanda vidogo vidogo ambavyo kwa kweli ni muhimu katika kutia chachu ya maendeleo ya Viwanda vya ndani. Kwa bahati mbaya katika pitapita zangu, sioni...
Nawatahadharisha wafanya biashara wote wanaotumia bandari ya Tanga au boda ya Horohoro kupitisha bidhaa zao.Na kama ukitaka kufilisika basi puuza onyo hili
Kama wote mnavyojua utaratibu wa TRA...
GrEattHinkErs,
Inanikera sana kuona Foleni kutokea kisongo inaanzia Kilombero na barabara ni naona ni Finyu,
Inanikera Sana kuona Foleni inaanzia kijenge nikitokea Njiro na hakuna uwekekano wa...
Wale jamaa wa ngoma za kienyeji kitoka Botswana wameletwa tena! kutafuta fedha za Watanzania .Hiki ni kielelezo kingine cha uduni wa fikra zetu!Ukichunguza kwa makini kinachofanywa na hili kundi...
By Barry FitzGerald | December 15, 2010
RUSSIA'S state atomic energy corporation, Rosatom, has moved on ASX-listed Tanzanian uranium developer Mantra Resources with an agreed $1.16 billion...
Dec 15, 2010
The European Investment Bank (EIB) Wednesday announced a US$135 million loan to co-finance a new 667-km high voltage transmission line being built in Tanzania to improve power...
Bank ya NMB imeanzisha kilimo account ambayo imezinduliwa mwenzi wa kumi na moja katika mkoa wa mtwara. CEO wa nmb amesema account hiyo ya kilimo itakuwa na interest ya 6% na itakuwa haina...
nianze kwa kuwapongeza wachumi wenzangu kwa kuelimika sana maana siku hizi unapoingia kwenye forum hii ya wachumi kweli unakuta thread za kichumi na hata mawazo watu wanayochangia ni kichumi zaidi...
Je ni wabunge wagapi wanavaa suti Made in or by Tanzaniam?
Je ni ni Viongozi wangapi wapo tayari kutengenezesha viatu vipya japo pair mbili kwa mkwa kwa mafudi wetu
Je ni viongozi wangapi...
Wafanyakazi wa Zantel hapa Arusha wameanza biashara chafu ya kulangua moderm za internet kwa kuwatumia wafanyabiashara binafsi akiwemo mmiliki wa duka la SOUND and VISION au maarufu kama kwa...
Mimi ni mfanya biashara nilikuwa nataka kufungua duka la jumla kibaha,wenyeji wangu wakanieleza kuna kabila la wangweno,hawataki mtu mwingine kufanya biashara kama sio mgweno watakuloga,kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.