Dear JF Members,
I hope everybody is doing better!
Please whenever you are free... I beg you better read the attached Inspirational book, I am sure you will grasp precious knowledge which will...
Nadhani kwa wakaazi wa Arusha na vitongoji vyake watakuwa wameshaona kwenye mabango mbalimbali barabarani ama kupitia redio ama magazeti ya kuwa iliyokuwa inaitwa novotel mount meru hotel...
Kama kuna watu amboa wameshindwa kujiendeleza kama jumuia ni Watanzania!,Pamoja na rasilimali nyingi bado nchi yetu na maskini ,mijadala mingi inayoendelea hapa nchini ni kujadili watu.Kila siku...
Wakuu,
Nina idea ya kuanzisha business, mostly ku negotiate for other companies, bundle volumes, try and see sehemu kwenye cost savings for companies and small businesses as well. I am not living...
Tanzania has once again been forced on the defensive following another financial scandal involving donor funding to the country.
This time, the government has been forced to refund money that...
MARA nyingi tumekuwa tukishuhudia baadhi ya wafanyakazi wa kampuni au viwanda wakiingia katika migomo na migogoro kutokana na madai ya kutaka kuboreshewa haki zao mishahara ikiwemo.
Migomo hiyo...
Any serious partner who can bring machine and other equipment for extraction of quarries is invited.
Our site is located in lugoba area with a huge deposit content.
Thank you.
Wafanyabiashara wataka umeme wa Buzwagi
Imeandikwa na Raymond Mihayo, Kahama; Tarehe: 13th December 2010 @ 23:20
WAFANYABIASHARA wa viwanda na mashine za kukoboa mpunga, wilayani Kahama mkoani...
Mwaka jana nilisafiri kwenda US kuwasalimia rafiki zangu wanaoishi huko, bahati nzuri nikapata rafiki mpya. Kwenye maongezi aliniambia angependa kuwekeza Tanzania. Alipo niomba ushauri nikamwambia...
Wanajamii,
Naomba mwenye kufahamu ni wapi naweza kupata msaaada wa matengenezo ya vifaa vy IBM (servers, printers, desktops, laptops) hapa jijini Dar es Salaam.
Natanguliza shukrani
Obuntu
Mgawo wa umeme wasitishwa
Imeandikwa na Halima Mlacha, Morogoro; Tarehe: 8th December 2010 @ 23:59
ANGALAU Watanzania wanaotumia nishati ya umeme watakuwa na ahueni sasa baada
ya Shirika la...
Saccos ni njia sahihi ya kumwokoa mjasiriamali wa kawaida. Mpango huu wa kuweka na kukopa unasaidia sana sana watu walio wengi.
saccos zilianzishwa nyingi lakini siku hadi siku zinakufa...
Please call me 0719672328 is real business no longolongo visit Potion 21 - Herbal Remedies for Diabetic Wound and Skin Diseases for details to join call me please
Habari hii ya kusikitisha imo kwenye gazeti la Majira la leo ambapo tunahabarishwa ya kuwa kumbe tangia tuifunge mitambo ya Mtera ya kuzalisha umemem tulienda kuuchapa usingizi na sasa ni...
Najariblu kupiga namba ya simu iliyopo kwenye visa card ya crdb, customer service HOTLINE lakini kuna muda inakuwa busy. ukijaribu baadae itaita lakini haipokelewi. na ukitulia useme upige tena...
Hivi, Muarobaini wa tatizo la umeme, au nisema ugonjwa wa umeme Tanzania ni nini? ni solution gani ambayo sisi wana JF hapa tunaweza kuwashauri viongozi wetu ambao kila siku lazima waje humu JF...
Grand Slam tennis champion Martina Navratilova amelazwa hospitali nairobi baada ya kupanda kupata matatizo ya maji kwenye mapafu baada ya kupanda mlima kilimanjaro. Ukisoma habari yote utaona kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.