Vituo vya luku havina umeme | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vituo vya luku havina umeme

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Miranda, Jan 17, 2011.

 1. M

  Miranda Member

  #1
  Jan 17, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kampuni inayotoa huduma ya umeme, vituo vyake vya kuuzia umeme (LUKU Station) havina umeme ili waweze kuuza umeme?.....du hii nchi imelaaniwa au?
   
 2. P

  Prime Dynamics JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Wenye kumiliki hivyo vituo sio wa kulaumiwa ila Tanesco ndio wakulaumiwa. Kila kituo unachokuta cha kuuza LUKU jua kwamba ameweka millioni kumi na faida yake ni 3%. Na anatakiwa kuuza hizo token za 10m within one week. Akiuza zaidi ya week mmoja token za 10m ni hasara kwake. kumbuka retuns za 10m ni laki tatu. kama asipouza zote in a week noma. Ndio maana utakuta vituo vya kuuza Luku mikoani vingi vimefungwa just bcoz returns za 10m hazilipi, since wanalazimika kuuza token za 10m for more than a month. Ni most cases utakuta kwamba kila mwenye kituo cha kuuza Luku lazima anayo biashara nyingine so analazimika to reallocate hizo pesa. so kituo kitafungwa kwa muda fulani and then kitafunguliwa. Na pia most of the guys wenye vituo wanavitumia just to get mikopo from the banks kuedeleza biashara zao tofauti na hiyo ya Luku. Therefor Tanesco wantakiwa kupunguza kiasi cha kudeposit from 10m to may be 3m.
   
 3. C

  CHESEA INGINE Senior Member

  #3
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 180
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Patamu !
   
 4. P

  Prime Dynamics JF-Expert Member

  #4
  Jan 18, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Pia Tanesco mkataba wa Luku vending stations hawauelewi ngawa wameutoa wao. Mfano kuna kipengele kinasema hivi katika huo mkataba (nilipata bahati ya kuusoma huo mkataba) "The agent shall replenish LUKU units in the vending machine when the value of outstanding is 1/4 of total units purchased" Sasa huyu agent akienda Tanesco kuongeza kiasi kilicho pungua ambacho ni less than 10m, Tanesco hawakubali, wanakulazimisha to deposit 10m. inakuwa kama vile either lugha iliotumika kwenye mkataba hawaielewi au wanafanya kama vile Tanesco ni ya wajomba zao! Hii ndio mmoja ya sabau kuu vituo vya Luku kutokuwa na huduma wakati wote. sana sana mikoani.
   
Loading...