Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Jamani wale waliotazama tv leo mmeona nchimbi alivyozungumza kuhusu mbio za mwenge mwaka huu utasema jambo la maana sana...... sasa najiuliza hivi hizi mbio za mwenge zitapigwa lini...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
habari wakuu, ndugu yangu anauza kiwanja ukubwa ni mita 22 x 25. Kipo mahali sio bondeni wala hakina slope sana, hakijapimwa bei 6 milion. Ni Mbezi juu unaingilia barabara ya Jogoo au kiwanda cha...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hivi karibuni mabadiliko mengi ya ki teknologia yamekua yakiendelea hapa nchini. Mimi kama mtumiaji wa intaneti nimekua nikifuatilia maendeleo mbali mbali yanayo fanyika kwenye mtandao yani...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wapendwa amani ya Mungu iwe juu yenu. Naomba kwa mwenye kufahamu anijulishe ni wapi inapouzwa milango mizuri imara na ya design za kisasa kwa Dar es salaam. Namaanisha milango ya mbao ya ndani...
0 Reactions
11 Replies
7K Views
By BILHAM KIMATI, 13th May 2011 @ 13:53, HOME Affairs minister, Mr Shamsi Vuai Nahodha has refuted allegations levelled against him by mangrove wood smugglers that he once defended them and...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Uwanja wa Ally Hassan Mwinyi, Tabora. Sehemu ya ndani ya uwanja huo. Habari ambazo ninazo kutokana na kuhoji wakazi kadha wa kadha wa mkoa wa Tabora, uwanja wa Ally Hassan Mwinyi ni mali ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Egypt: Suzanne Mubarak detained in corruption probe Mrs Mubarak's husband had already been detained by investigators Continue reading the main story Egypt's Revolution Communal conflict...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
By FARAJA MGWABATI, 10th May 2011 @ 13:00, Total Comments: 0, Hits: 123 DAILY NEWS THE International Monetary Fund (IMF) has urged the Tanzanian government to increase tax on mining activities as...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jamani wana JF leo nimefurahi sana kupata Modem mpya ambayo inarahisisha mambo yangu pamoja na biashara zangu. Sasa Internet kwangu ipo faster kuliko ilivyokuwa mwanzo baada ya kubadilisha Adsl...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna wakati Rais wa Tanzania anasafiri kwenda nchi za nje na msafara wa wafanya biashara wa Kitanzania. Au anaitisha mkutano na wafanyabiashara wa ndani hapa hapa nchini. Cha kushangaza kwenye...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Kampuni ya Ndege ya Rwanda-Rwandair intarajia kuanzisha safari zake na kuja mara 4 dar es salaam kuanzia june 01,habari za uhakika zilizotufikia zinasema Ndege hizo zimekuwa zikija mara 3 na...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wana JF naomba mnisaidie katika hili . Nina lori linafanya biashara za kusafirisha mizigo kwenda mikoani. Lakini toka limeanza kufanya biashara faida yake haionekani. Kwenda na kurudi mapato ni...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
The socio-psychological concept of self-confidence relates to self-assuredness in one's personal judgment, ability, power, etc., sometimes manifested excessively. as per wikipedia "One...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KIPINDI: MAFANIKIO NI MOYO Script Sing tune:_fade up_______fade down and then fade out 00:20 Karibu tena ndugu msikilizaji; katika kipindi chako cha mafanikio ni moyo ambacho...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Ndugu wana JF..... Wakuu habari za majukumu ya taifa hili letu.... kuna viwanja vitatu vyenye ukubwa wa kuanzia mita za mraba 1000 ila hazifiki 2000m2 ...vipo karibu na jeshi (Ubungo External)...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
1. Equatorial Guinea $30,200 2. Botswana $15,800 3. Gabon $14,900 4. Libya $14,900 5. Mauritius $12,400 6. South Africa $10,400 7. Angola $9,100 8. Tunisia $8,000 9. Algeria $7,100 10. Egypt...
0 Reactions
27 Replies
36K Views
Habari wana JF, Kuna Master log inauzwa ya Radio ya christian ambayo ina:- 1. Administration structure ya radio hiyo. 2. Clock formats included in master log (make my day) ya radio. 3...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
nilikuwa najaribu kutafuta majibu ya hii issue nikaona haya maelezo. Recently, Ory Okolloh (aka @kenyanpundit) asked a pertinent question on Twitter, that I would paraphrase as: "Tanzanians -...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Nina Tshs 1,000,000/= nataka kuanzisha biashara. Ninazo idea mbili tofauti kichwani:- 1. Nifungue duka la vitu vya nyumbani kmf. chumvi, sabuni, unga, mchelle, mafuta n.k 2. Nifungue Genge Naomba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hesaabu zenyewe ziko hivi: Hadi leo amehudumia watu 3,000,000/- x 500 = 1,500,000,000/-!! Milioni 3 wanywa kikombe Loliondo Na Mwandishi wetu ZAIDI ya wagonjwa milioni 3 wamepata kikombe kwa...
3 Reactions
86 Replies
9K Views
Back
Top Bottom