Kenya has incubated three multinational corporations that rank among the most successful in black Africa, says a new report by a global alliance of business leaders.
Kenol Kobil is listed in...
April 15 (Bloomberg) -- Tanzanias inflation rate climbed to an 11-month high of 8 percent in March as energy costs surged, the statistics office said.
Inflation accelerated from an annual 7.5...
What is FOB Prices?
Free on board (FOB). This pricing term indicates that the cost of the goods, including all transportation and insurance costs from the manufacturer to the port of departure...
Majuzi CRD Bank wameanzisha huduma ya Tembo card master card. Huduma hii
ilizinduliwa kwa mbwembwe na majigambo ya aina yake. Kama kawaida ya
watanzania tunapenda sana sifa ya kwamba sisi ndio...
Leo, Dr. Magufuli ambaye ni waziri wa ujenzi amezindua rasmi matumizi ya leseni kwa ajiri ya practising engineers and engineering consultants kama sheria inavyoelekeza.
Moja ya mambo muhimu...
Please JF members ....
if there is any body wants a joint venture business for a night club please contact me...
i have a place suitable for a night club (can accommodate about 300 people) with...
I have a thank you gift for you...
This is something that we highly
recommend - check it out here:
https://secure.aischeckout.com/t/2jht6/Cik2/email
I'm so confident that this system
works and...
Wana jf naomba msaada kwenu natafuta mkopo wa 10M wa riba nafuu ila nimejaribu kwenda bank zote zikanieleza ili kupata mkopo natakiwa niwe angalau nabiashara na mimi ndio natafuta hiyo hela...
Nimekuwa mteja wa Airtel kwa muda mrefu sana,lakini tabia yao kukwepa kutoa msaada kwa wakati linaudhi sana,utakuta unapiga simu customercare lakini unachoambulia ni matangazo marefu yasiyo na...
Wakuu.
Napenda kuuliza wale waliopo nyumbani Tanzania kuhusu biashara ya vifaa vya nyumbani vilivyotumika (used) vya elctronics. Hivi vhs cassette players bado zinatumika? Je, bado zina soko? Na...
Wana JF
Kuna anayefahamu kampuni inaitwa MINE DE COPPER TANZANIA, inasemekana ofisi zao zipo mikocheni. Tunahitaji kuingia nao mkataba wa biashara bali tuna wasiwasi na uwepo wao, si unajua...
WHAT IS SELF ESTEEM?
Self-esteem is a term used in psychology to reflect a person's overall evaluation or appraisal of his or her own worth. It encompasses beliefs (for example, "I am competent"...
Wana JF nimekuwa muajiriwa kwenye NGO Moja kwa takriban miaka kumi.
Imefika wakati nataka kuacha ili nipate muda wa kutosha kusimamia biashara yangu japo ni ndogo.
Kinachonisumbua ni hofu ya...
Wadau,
Leo nilitaka kubadilsha dollar zangu kadhaa ,kwa 100 USD
NMB nimekakuta wanabadilisha kwa sh 1455 ,CRDB 1484,NBC 1488
Hivi ni kwa nini? viwango si sawa?
Wataalamu wengi wa uchumi wanakubaliana kwamba ili nchi ijikwamue/isonge mbele kiuchumi tabaka la kati "middle Class" ni muhimu likawa kubwa.Nimejaribu kujiuliza tabaka la kati linashirikisha watu...
Habari za saa hizi wakuu.Naamini Mungu anasaidia na ataendelea kufanya hivyo.
Jamani nimepata mkopo(1M).Nimesikia mwezi huu kuna mikoa inafanya uvunaji.Nilikuwa na wazo la kuchukua mazao mikoani...
Wasalaam wanaJF
Naomba kwa anayefahamu anisaidie kufahamu jinsi kodi inavyokokotolewa endapo nitanunua gari lililokuwa na msamaha wa kodi (Tax exemption) ambalo liliingizwa nchini TZ mwaka 2000...
Imeandikwa na Oscar Job; Tarehe: 16th May 2011
HALMASHAURI ya Manispaa Ilala, mkoani Dar es Salaam imepiga marufuku matumizi ya viwanja vya Mnazi Mmoja na vingine vya wazi kwa ajili ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.