muro aishi
New Member
- Jun 2, 2011
- 1
- 0
Nimejiuliza muda mrefu sana kuhusu dhamani ya fedha yetu'nashindwa kuelewa kwanini BOT ina wala rushwa wa kutosha alafu wanapewa kazi ya kudhibiti fedha ,jamani wataweza kweli