Tz yetu maisha magumu lkn viongozi wanasafiri nje na group la watu 40 hasara/faida ya nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tz yetu maisha magumu lkn viongozi wanasafiri nje na group la watu 40 hasara/faida ya nani?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Chamkoroma, Jun 2, 2011.

 1. C

  Chamkoroma Senior Member

  #1
  Jun 2, 2011
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 187
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wapendwa wangu nandugu zangu, maisha yetu yalivy magumu lkn utashangaa viongozi wetu hawaoni ugumu unaowatesa wa TZ kwa ujumla je, tutafanyaje ili waone kuwa kama kuna ulazima kusafiri kwenda UK& US na watu basi wawe watatu hadi watano, lkn watu wengi na wote wanapata first Class haya maisha tutafika?
  najua baadhi mtasema ni umbea lkn Dr. Bilal anasafiri jiulize watu arobaini kwenda nao nje kwa faida ya nani? je wananchi wanaumia kiasi gani kwakuwasafairisha watu hao, gharama nani ataichukua?
   
 2. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #2
  Jun 2, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  gharama tutazilipa mm na ww kwa kodi zetu
   
Loading...