Farm for sale | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Farm for sale

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mtanzania haswa, Jun 2, 2011.

 1. Mtanzania haswa

  Mtanzania haswa JF-Expert Member

  #1
  Jun 2, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 665
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Wana JF salama...

  Nina shamba salasala ambalo halijapimwa lenye ukubwa wa mita za mraba 3000 sawa na robo tatu ya eka naliuza shilingi 9 Milion....lina miti michache ya maembe, minazi na linafikika vizuri kwa barabara. umbali kutoka barabara ya bagamoyo ni KM 4...

  Kwa atakaye hitaji tafadhali tuwasiliane kwa 0784 508466...

  Kwa upimaji mi mwenyewe ni mpima ardhi hivyo tutafanya pamoja....
   
 2. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #2
  Jun 2, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Hicho ni kiwanja siyo shamba
   
Loading...