Biashara ya usambazaji wa kazi za muziki na filamu... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara ya usambazaji wa kazi za muziki na filamu...

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by C.T.U, Jun 1, 2011.

 1. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Jamani nina plani ya kuanzisha biashara ya usambazaji wa kazi za muziki pamoja na zile za filamu... Sasa ninaona ni vyema nikaweka mjadala hapa mezani tuone kwa pamoja ni jinsi gani tutaweza kuifanya kwa kunipa ideas, techniques, ushauri, na budget estimation...ya shughuli hii
  thanks guys.
   
 2. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #2
  Jun 2, 2011
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,692
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 180
  Wewe ndiyo unataka kuanzisha biashara. Tuambie vision yako ya hiyo biashara halafu sisi tukukosoe au tukufanyie maboresho. Biashara haiwezi kufanikiwa ikiwa wewe muanzishaji huna vision nayo. Maana yake ni kwamba unataka kufanya kitu ambacho hukijui.
   
Loading...