Hivi kilimo kwa watanzania kinaweza kuinua kipato cha mtu?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kilimo kwa watanzania kinaweza kuinua kipato cha mtu??

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by sekulu, Jun 2, 2011.

 1. sekulu

  sekulu JF-Expert Member

  #1
  Jun 2, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 934
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Kila kukicha nasikia tu watu wanasema kuhusu kilimo kwanza, kwamba eti ni njia ya kuondoa umasikini kwa watanzania kwa kigezo kwamba asilimia kubwa ya watanzania ni wakulima na hivo kilimo ndo mkombozi wao, Hivi hii ni kweli jamani??
   
 2. m

  mzalendofungo Member

  #2
  Jun 2, 2011
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sikia mwana Jf.
  The thing is, no body cares about the living conditions of we tanzanians instead they are fighting for their own political interests. mfano, je ni kweli kuwa watanzania hawana nguvu za kulima kiasi hata cha kujipatia mazao kwa ajili ya chakula chao? Jibu ni hapana, the problem ni kwamba kilimo chetu ni chakutegemea mvua. do you expect to be productive in that? je, ugawaji wa power tillers (1) kila wilaya ndo itamkwamua mkulima toka ktk dimbwi la imaskini? ebu wanasiasa waache kumdanganya mtanzania wa leo.
  Hakuna kilimo kwanza wala kilimo mwanza, wizi mtupu.
   
 3. sekulu

  sekulu JF-Expert Member

  #3
  Jun 2, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 934
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Yes, They are tooo politicians than a helping Hand, What they know is kuweka policy ambazo wao wanaona zinaanufaisha kisiasa, Hakuna mitaji inayowekwa kwenye kilimo ya kutosha na Hakuna mipango thabiti ya kilimo, Mathalan leo unamwambia mtu alime mpunga au mahindi lakini humuhakikishii soko la mazao yake, akitaka kuuza nje ya Nchi Unamzuia akitaka kuleta Dar ili apate japo faida kidogo analipa ushuru wa mazao kila wilaya, akiuza anapata faida asilimia 15 nyingine yote inarudi mikononi mwa Magamba!

  Ninachokiona wao wanachofanya ni kutibu dalili huku wakiendelea kucha ugonjwa ukiwa pale pale, Hakuna faida ya kilimo bila kuwa na Viwanda vya kutumia mali hizo, na tukiendelea hivo tutakuwa tunafanya kazi ya kutibu dalilio na kujiuliza mbona hatuendelei.
   
 4. M

  Maga JF-Expert Member

  #4
  Jun 2, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 325
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Hizi sera za kilimo kwanza zinaanzishwa kwa minajili ya kuwafurahisha wafadhili ili waendelee kutoa hela wao waneemeke, hizo power tillers umeshawahi kuziona mashambani kila siku naziona mijini tu. Tuna kitu kinaitwa jeshi la kujenga taifa (JKT) sijui watu hawa wanafanya nini kama sio kula bure na kuota vitambi. Nakumbuka enzi za mwalimu hili jeshi lilikuwa ndio wazalishaji wakubwa wa vitu mbalimbali lakini leo hii nao wanasubiri posho toka serikalini. Tutaendelea kulia kila siku
   
Loading...