natafuta kiwanja arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

natafuta kiwanja arusha

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by ngurati, Jun 3, 2011.

 1. n

  ngurati JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 221
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wanajanvi,

  Natafuta kiwanja arusha bajeti yangu ni ndogo isizidi sh milioni 5. Sina preference maalum ya eneo ila isiwe mbali sana na mji,kwa maana nyingine pafikike kirahisi.
   
 2. Wikiliki

  Wikiliki JF-Expert Member

  #2
  Jun 3, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 529
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Maeneo ya ngulelo karibu na kanisa katoliki kuna viwanja ,tuwasiliane.
   
 3. n

  ngurati JF-Expert Member

  #3
  Jun 3, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 221
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mkuu vina ukubwa gani na bei ikoje? asante wa taarifa
   
 4. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #4
  Jun 3, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,986
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Tafutia Sakina kwa Iddi na kusogea maeneo hayo unaweza kupata!!!!!!!!!!
  Sehemu zingine viwanja ni aghali saana, jitahidi lakini na kwa Mromboo.
   
Loading...