Ni nini biashara yako? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni nini biashara yako?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by mchafukuoga, May 27, 2011.

 1. m

  mchafukuoga Member

  #1
  May 27, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [FONT=&quot]Unaweza ukajibu swali hili kwa kuangalia vitu viafutavyo nini unazalish na kwa ajili ya nani?[/FONT]
  [FONT=&quot]Maana yake ni kuwa biashara ina mambo mawili [/FONT]
  [FONT=&quot] Uzalishaji (Production)[/FONT]
  [FONT=&quot] Masoko (Marketing)[/FONT]
  [FONT=&quot]Kitu cha msingi kukumbuka uko katika biashara ili kuzalisha /kutafuta pesa.[/FONT]
  [FONT=&quot]Maana yake ni kuwa lazima uwe na vitu vya kuuza na pia lazima uwe na watu wa kununua hivyo vitu vyako(kwa maana nyingine ni lazima uwe na bidhaa/huduma na pia wawepo wanunuzi wa bidhaa zako.)[/FONT]
  [FONT=&quot] Kupata vitu unavyotaka kuuza unahitaji uzalishaji (bidhaa/huduma) na pia kutafuta masoko ya kuuzia hizo bidhaa/huduma ulizozalisha.[/FONT]
  [FONT=&quot]Kwa hiyo biashara kwa maana nyingine ni bidhaa/huduma na masoko.[/FONT]
  [FONT=&quot] Tuanze na uzalishaji (Production) [/FONT]
  [FONT=&quot]Mfano fikiria[/FONT]
  [FONT=&quot]Kama[/FONT][FONT=&quot] wewe ni mtengenezaji wa viatu/miwani ya jua, ukiulizwa biashara yoko ni nini , utasema ni kutengeneza miwani /viatu.lakini hii ni biashara yako kweli?[/FONT]
  [FONT=&quot]Unachotengeneza ndicho unachauza?[/FONT]
  [FONT=&quot]Kama[/FONT][FONT=&quot] unatengeneza miwani ya jua ,kutengeneza miwani ya jua sio njia pekee ya kuelezea uzalishaji wako.[/FONT]
  [FONT=&quot]Biashara yako ungeweza kuielezea kuwa ni kuzuia macho kupigwa na mionzi ya jua.[/FONT]
  [FONT=&quot]Kama[/FONT][FONT=&quot] utasema "nina biashara ya kutengeneza miwani ya jua" ni lazima utambue [/FONT]
  [FONT=&quot]Kuwa miwani ina vipande viwili vya plastiki vya rangi vilivyoshikwa na fremu za[/FONT]
  [FONT=&quot]Plastiki kwenye uso wako.[/FONT]
  [FONT=&quot]Hakuna mtu atakeye nunua miwani kwa kuwa anataka viande viwili vya plastiki/glasi vya rangi aviweke usoni mwake.[/FONT]
  [FONT=&quot](HAPA NI LAZIMA UZALISHE ZAIDI YA MIWANI.) [/FONT]
  [FONT=&quot]Unapoelezea biashara yako lazima pia uelezee kuhusu masoko yake [/FONT]
  [FONT=&quot](It's marketing) mfano ;ukisema biashara yako ni kuuza miwani kwa waitali.[/FONT]
  [FONT=&quot]Kumbuka biashara ni uzalishaji na masoko.[/FONT]
  [FONT=&quot] Tuzumgumzie masoko (marketing)[/FONT]
  [FONT=&quot]"Utasema biashara yako ni biashara ya kutengeneza miwani za jua kwa waitalia" [/FONT]
  [FONT=&quot]Hii ni nzuri kidogo lakini kuna mamilioni ya waitalia , hakika huko katika biashara ya kuwatengenezea miwani za jua mamilioni ya waitali wote.[/FONT]
  [FONT=&quot] Fikiri biashara yako katika hali ya kwanini hawa watu wananunua miwani za jua?[/FONT]
  [FONT=&quot] Hapa biashara yako itakuwa "kutengeneza miwani ya jua ambayo inazuia mionzi kwa ajili ya waitalia wanopenda usalama wa macho yao"[/FONT]
  [FONT=&quot]Mfano ukisema biashara yako ni kuzalisha fulana za kampuni ya ukwamba ;[/FONT]
  [FONT=&quot]Ukwamba akakupatia kila kitu (malighafi zote ) kwa ajili ya uzalishaji na aina ya fulana ,mfano na ukubwa wa hizo fulana. Hapa maana yake ni kwamba ukwamba anahitaji uweke gharama za uzalishaji tu hasa wafanya kazi (labour costs)[/FONT]
  [FONT=&quot] Je unafikiri biashara yako ni nini?[/FONT]
  [FONT=&quot]Je kampuni ya ukwamba kiuhakika inanunua nini hasa kutoka kwako?[/FONT]
  [FONT=&quot]Je ni bei rahisi ya ufanyajikazi wako?(low cost of your labour).[/FONT]


  [FONT=&quot]Muhimu;[/FONT]
  [FONT=&quot]Kama hutasimamia vizuri bishara yako/kampuni yako au utachelewesha mzigo, mzigo ukawa chini ya kiwango,ukubwa tofauti, rangi tofauti na mlivyokubaliana, Ukwamba hata nunua huduma toka kwako hata kama una bei rahiasi kuliko kampuni yoyote hapa duniani.[/FONT]
  [FONT=&quot] Kutokana na maelezo hayo unaweza kusema biashara yako ni kutoa huduma (services) kuliko kutengeneza bidhaa. [/FONT]
  [FONT=&quot]Japokua unampatia ukwamba bidhaa za fulana,lakini ukwamba anapenda au anavutiwa na huduma yako ya usimamizi wa uzalishaji.[/FONT]
  [FONT=&quot] Biashara yako hapa ni kuuza utaalam wako wa usimamizi wa uzalishaji kwa kampuni ya ukwamba.(selling production management skills)[/FONT]
  [FONT=&quot]"Unachozalisha kinaweza kuwa sicho unachokiuza"[/FONT]


  [FONT=&quot]Ili[/FONT][FONT=&quot] kufafanua vizuri kuhusu mada hiyo hapo juu hebu jaribu kufikiria kuhusu magazeti[/FONT]
  [FONT=&quot]Magazeti yanauza nini?[/FONT]
  [FONT=&quot] Unaweza kufikiri na kusema kuwa magezeti yanauza habari kwa jamii,[/FONT]
  [FONT=&quot]Lakini jiulize mwenyewe kuuza magazeti kutaweza kuzalisha hela za kutosho kuendesh kampuni? Hela itakayopatikana haitoshi, kwani kuchapisha nakala moja[/FONT]
  [FONT=&quot]bei yake ni mara mbili ya bei ya kuuzia gazeti.[/FONT]
  [FONT=&quot] Hapa makampuni ya magazetai yanauza nafasi za matangazo. [/FONT]
  [FONT=&quot] Na ndio chanzo kikibwa cha mapato yao.[/FONT]
  [FONT=&quot](They produce what they don't sale and they sale what they don't produce)[/FONT]


  [FONT=&quot]Muhimu;[/FONT]
  [FONT=&quot]Kama[/FONT][FONT=&quot] utashindwa kujua hasa kampuni yako iko katika biashara gani /inauza nini/[/FONT]
  [FONT=&quot]Inazalisha nini utakuwa umepoteza mwelekeo na hutatengeneza faida ambayo ndio msingi wa kuwa katika biashara (money making)[/FONT]


  [FONT=&quot]Hitimisho[/FONT]
  [FONT=&quot]1. [/FONT][FONT=&quot]unachozalisha/unachotengeneza kinaweza kuwa sicho unachouza.[/FONT]
  [FONT=&quot]Kujua uko katika biashara gani au nini biashara yako lazima ufikirie haya; [/FONT]
  [FONT=&quot]Kwa nini wananunua toka kwako?[/FONT]
  [FONT=&quot]2. [/FONT][FONT=&quot]wakati unafikiria kuhusu nani watanunua kutoka kwako ,fikiria pia kuhusu nani anahusika katika mafanikio yako ya kifedha ya kampuni[/FONT]
  [FONT=&quot]Watanzania wengi hatujui hasa ni nini biashara zetu(what is the business of your enterprise) hii inasababisha watu wengi sana kupata hasara na kufunga baadhi ya makampuni yao.[/FONT]
  [FONT=&quot]ahsante sana [/FONT]
  [FONT=&quot]karibuni wadau wote kwa maoni na ushuri.[/FONT]
   
 2. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2011
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,084
  Likes Received: 1,121
  Trophy Points: 280
  At home I manufacture digital products (complex neural
  network algorithms and SE ranking algorithms), online I
  sell hope.

  So I'm in business of selling hope, easy way to rank your
  site online at a push of a button.
   
 3. Kiresua

  Kiresua JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2011
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 1,202
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Mh mze nimekubali. Höngera na asante kwa ujumbe mzuri
   
 4. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #4
  May 28, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Umenifungua macho ngoja nifanye hii homework nitajibu kutokana na biashara yangu. Keep it up.
   
 5. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #5
  May 31, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  nimependa
   
 6. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #6
  Jun 2, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,333
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  ninafanya biashara ya kuhakikisha watu wanajenga nyumba bora. vifaa vya njenzi...duh kazi
   
 7. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #7
  Jun 2, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  thnx mkuu nimepata somo kubwwa i wish nikuone mkuu
   
Loading...