Dola Moja ya marekani = Shilingi 1540 ya Tanzania Kununua; Kuuza 1560

The Prophet

JF-Expert Member
Mar 17, 2011
682
94
Habari ndiyo hiyo.

Na rais wenyu anajiita Dokta. Msomi wa Uchumi, UDSM.

Aibu gani?

Tunakoelekea hata wauza karanga na wachoma mahindi wataanza kuuza kwa dola.

Tunaacha haya yanapita; kisa tunaogopa kufa. Sijui nani ataishi milele!
 
Ndulu anasema hiyo ni kitu safi kwa kuexpoti kwa hiyo tuiache tu iporomoke wahindi wazidi kuexpoti
 
NSSF yangu ya miaka 10 siku nikiichukua itatosha kununua mkate mmoja tu! Tunaelekea kuwa kama Zimbabwe, kipande cha sabuni Zim $ 2Millioni!
 
Kati ya dhambi kubwa tulio ifanya ni kuiruhusu CCM kuendelea kututawala, msiniambie walichakachua....maana kama walichakachua basi na wao tuna uwezo wa kuwachakachua hata leo.....
 
Ndulu anasema hiyo ni kitu safi kwa kuexpoti kwa hiyo tuiache tu iporomoke wahindi wazidi kuexpoti

Huyu Ndullu naona kazi imemshinda kwani toka amekadhiwa hicho kiti cha marehemu Ballali hakuna la maana alilofanya bali ni kashfa tu; mabillioni yaliyotumika kujijengea nyumba, noti mpya kuchakachuliwa na hivi sasa kushindwa kuthibiti mfumuko wa bei!! Kama kazi kuu ya BOT ni kuthibiti mfumuko wa bei na huyu bwana ameshindwa kwanini aendelee kukomba maillion ya shilingi ya mshahara wakati kazi yake haina tija?
 
hata ukimfukuza mpaka mfanya usafi benki kuu haita saidia tatizo ni serikali ya CCM.......
 
yanh dola inapaa kila kukicha!ukitakaa kununua gari utajua dola inauma kununua!hawa wakuu wasiporekebisha hii hali mapema tutatafutana!tunaanza kununua gold tunahifadhi majumbani kwetu.
 
Back
Top Bottom