Nyumbani Lounge kwa JayDee huduma kwa mteja hairidhishi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumbani Lounge kwa JayDee huduma kwa mteja hairidhishi

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Sanda Matuta, Mar 14, 2011.

 1. Sanda Matuta

  Sanda Matuta JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2011
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 950
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Wiki iliyopita niliyapitia maeeneo hayo ya Mwenzetu ambayo kwa kusema ukweli Bint amejitahidi sana sana,kwa bint kama yeye kutoka aliko tokea mpaka hapa alipofikia ni hadithi nzuri ya mafanikio ya yenye kutia moyo kwa mabint wengine na hata watu wajinsia nyingine.
  Lakini,pamoja na yeye kama yeye kufikia mafanikio hayo sehemu yake ya chakula hiyo Nyumbani Lodge naona imepata au inapata umaarufu tu kwa kumpitia Jaydee na sio kama sehemu nzuri na yenye hudumu nzuri.
  Kwa huduma ,hamna huduma nzuri kabisa...yaani unaweza kukaa hapo baada ya kuagiza chakula zaidi ya saa nzima au mbili bila hatakuletewa chakula chenyewe na kila ukiuliza unaambiwa subiri,ukichoka kusubiri utaamua kuhairisha ulicho agiza kwa sababu ya kuchoka kusubiri huko na hata 'huto-ombwa'samahani ila wahudumu watendelea kujipitisha tu mbele kukufanya kama umeenda hapo kupewa chakula cha charity.
  Ushauri wangu Dada jaydee nenda katafute wahudumu professionals wanao jua kazi yao na kuithamini vinginevyo utapoteza wateja na biashara kwa sababu ya ujinga ya hao wahudumu uchwara.
   
 2. s

  shosti JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  ungempelekea kule kwa blog yake ingekuwa muafaka zaidi au...
   
 3. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #3
  Mar 14, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  location mkuu?
   
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  Mar 14, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Jaydee hana lodge minayoitwa nyumbani mazee

  au ulienda lodge gani mazee?
   
 5. Sanda Matuta

  Sanda Matuta JF-Expert Member

  #5
  Mar 14, 2011
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 950
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ni lounge wa wakuu,samahani kwa usumbufu wa lugha
   
 6. Sanda Matuta

  Sanda Matuta JF-Expert Member

  #6
  Mar 14, 2011
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 950
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Nyuma ya Best Bite on your left
   
 7. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #7
  Mar 14, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Thanks mkuu

  mvumilie ndo anaanza, cha maana aondoe usista duu aweke wachapa kazi na awalipe kichapa kazi
   
 8. Sanda Matuta

  Sanda Matuta JF-Expert Member

  #8
  Mar 14, 2011
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 950
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  thanks nitafanya hivyo nilona nianzie hapa ili nikiweka kule asiiweke kapuni.
   
 9. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #9
  Mar 14, 2011
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Amekusoma.. Lakini hebu fanya 'MAREKEBISHO' hapo kwa red , Tafadhali..
   
 10. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #10
  Mar 14, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Nadhani Binti Machozi ujumbe utakuwa umemfikia sawia.............
   
 11. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #11
  Mar 14, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  hahahahah u were on my mind mkuu yaani ukimiss herufi moja tu neno linapoteza maana kabisa!:lol:
   
 12. s

  shosti JF-Expert Member

  #12
  Mar 14, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Fnya hivyo mkuu nadhani atalifanyia kazi,bint anajitahidi sana tumuunge mkono wajameni...
   
 13. Sanda Matuta

  Sanda Matuta JF-Expert Member

  #13
  Mar 14, 2011
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 950
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Nimeshafanya hivyo Mkulu.
   
 14. Mamuu55

  Mamuu55 Member

  #14
  Mar 14, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Panaudhi kweli nilikwenda siku moja sikurudi tena.
   
 15. Sanda Matuta

  Sanda Matuta JF-Expert Member

  #15
  Mar 25, 2011
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 950
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Pamelekebika kwa kweli,nimeenda hapa tena i have to say ...I WAS AMAZED...and to top it up hata yeye anahudumia wateja na yule dada muhudumu hayupo
   
 16. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #16
  Mar 25, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,953
  Likes Received: 1,509
  Trophy Points: 280
  Ushauri wa kwangu kwa dada Jide akachukue wahudumu wa hoteli kutoka Malawi,wao ni wachapakazi kwelikweli na bei zao ni poa ,pia wakenya ni hodari kwa kufanya kazi za hoteli tatizo wana hila na wivu pia wako expensive.nina wasiwasi huenda jide aliajiri kindugu na kama alifanya hivyo basi asubiri kupomoroka,ajiri pro na ukubali gharama kidogo au ajiri vihiyo kwa bei ya kutupwa na usubiri kupomoroka ASAP
   
 17. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #17
  Mar 25, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,573
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Sio fani yake afunge, au auze management. ye akaimbe. ndo alivyozoea
   
 18. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #18
  Mar 25, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  What has that to do with JF. Peleka malalamiko yako kwake.
   
 19. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #19
  Mar 25, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Hakukosea kuleta mawazo yake hapa, wote tungekuwa na mawazo kama yako jf isingekuwa na thred hata moja, maana zote zingepelekwa kwa walalamikiwa. Acha watu wafunguke kwa raha zao.
   
 20. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #20
  Mar 25, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  Hayo matatizo hayana tiba, ndio madhara ya kutoa mimba nyingi walipokuwa secondary school, halafu by the way nadhani anakaribia kufikisha miaka 50, so swala la kupata mimba ni next to impossible.
   
Loading...