Msaada kwa watalamu wa kuagiza magari na kodi zake.

Mr. Masasi

Member
May 12, 2011
53
4
Msada wanajf, kuna ndugu yng anataka kuagizia gari toka japan used, gar ni FORD EXPLORER inauzwa dola 1,561/= kama shling za kitanzania mil 2,341,500= kwa bei zao ambazo wameonesha kwenye mtandao wa tradecarview.com. Je garama za kusafirisha hyo gari iko ndan ya hyo bei yao ya manunuzi? Harafu kodi za hapa kwetu tanzania unapoingiza gari ambayo imetengenezwa mwaka 2000 ni kama shlingi ngapi? Hiyo gar ina cc 2500. Msada wa na jf. Thax a lot.
 
ukifungua hapo ingiza details zote itakuwekea garama zote isipokuwa garama ya kumlipa dalali wa kukutolea pale TRA watu wa bandari
 
Back
Top Bottom