Wadau naomba mtu yoyote mwenye mawasiliano (contacts) za Hifadhi ya Saadani anisaidie, hasa simu maana nimejaribu kutafuta website yao nimeshindwa.
Asanteni
LIFE IS A GAME; Hilo halina ubishi. Jinsi fikra zetu na vitendo vyetu vilivyo kila siku is how you play your game. Lakini jamani game zote tuzijuazo zina PURPOSE, eg football; toa pasi,dribble -...
Have you ever wondered??? PERGAMON (TZ) LTD Supplier's of Electronic Fiscal Devices don't use the EFD'S in there sales?
Not sure of other sellers of EFD's but have bought from PERGAMON (TZ)...
What should come first when starting a business, the capital or the business idea? That is the question I sometimes ask myself whenever I come across JF bombarded threads on loans.
Imagine...
Habari zenu wana JF
Naomba kuuliza kwa mwenye uzoefu na biashara ya FUSO. Nataka ninunue Fuso lianze kufanya kazi ya kusafirisha mizigo mikoan. Lakin kabla sijanunua ningependa kujua kwa kina...
Wakuu poleni kwa majukumu. Jana nilipata kigugumizi cha mwaka pale ambapo katika harakati za kufungua kampuni yangu niliambiwa siwezi kupata TIN hadi nilipe provisional tax.
Nilimuuliza huyo...
Aise ukipita Nyerere Road kama unatokea Kamata unaelekea Mnazi Mmoja Kuna HOTEL upande wa kushoto inaitwa TANSOMA HOTEL, lakini ghafla ile Tansoma Imeondolewa imebaki neno "HOTEL" Wadau hebu...
Jamani wana Jamvi naomba kama kuna Mtu anaweza kunisaidia kwa namna yeyote ile kupata Sehemu jijini Dar niweze kufungua Biashara ya Stationery
Eneo liwe ni Potentila kwa Biashara husika yaani...
Jamani nauliza exchange rate ya 1 pound ya Uingereza kwa Tsh,niliacha Pound 1 sawa sawa na Tsh 2200,je sasa hivi 1 pound ni sawa na Tsh ngapi ,rate ya kwenye bureau
Habari wapendwa wote wa jamii forum...nawashukuru sana na michango yenu mbalimbali hasa katika kujikwamua na hii haili ngumu...
Mmi nina hela yangu kidogo kama mil 5 hivi na nina eneo la shamba...
IMF YAIKALIA KOO SERIKALI
Yaitaka iangalie upya misamaha ya kodi
*yasisitiza ongezeko la kodi katika madini
Na Mnaku Mbani
MAOFISA wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) wameitaka serikali...
Wana JF
Ninaamini wote tutakubaliana ya kwamba moja kati ya changamoto inayomkabili mjasiriamali ni chanzo cha fedha katika kuanzisha au kuendeleza biashara yake.
Kuna malengo nimeweka kwa...
Kabla ya kupata ramani ya nyumba ningeomba kupata msaada wa kuangalia picha za nyumba mbalimbali ili niweze kuona mjengo wa nyumba ambao unavutia zaidi ndipo nimpelekee Archtecture kwa ajili ya...
By FARAJA MGWABATI,
10th May 2011
THE International Monetary Fund (IMF) has urged the Tanzanian government to increase tax on mining activities as a strategy to boost revenue collection to meet...
Hapa ndani nauliza wakuu,
Je, hivi mtu akiwa na ideas nzuri za business na hana hata chochote anaweza kupata wapi mkopo au mtaji wa kuanzisha biashara? Naombeni msaada wandugu!
Nimekutana na website ya kuuza bidhaa kwa njia ya mtandao ya hapa Tanzania inaitwa kivuko. Tanzania Online Shopping gateway. Kwa yeyote ambae amewahi kufanya manunuzi tafadhali atueleze uzoefu...
Mimi ni mwajiriwa serikalini kwa kama miaka kumi sasa, ningependa kufahamu, nikiagiza gari 4rm japan ama kokote, exemption yangu itanisaidia vp?? msaaada wa haraka jamani wana jamvi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.