Jamaa mmoja alikuwa akibishana na mkewe chumbani, mabishano yalikuwa hivi;
baba: Mke wangu wewe ni mwoga sana.
mama: hapana, wewe mume wangu ndio mwoga kuliko mimi.
baba: wewe ndo mwoga, mbona...
mama alimwita mwanawe we ngomge ukowapi njoo haha mwanawe akamjibu mamamie sie ngo'mbe. ng'ombe ni wewe na baba mimi ni ndama du mama kikamshuka shuuuuuuuuuuuu
kwako marehemu baba wa taifa,natumaini umepunzika kwa amani hakika nataka kukujuza maajabu mengi yaliyotokea tz toka uaage dunia;
Kepten john komba amekuwa mbunge lakini kazi yake ni kusinzia tu...
Tulikuwa msibani mtaani,watu wengi walikuwepo kuwafariji wafiwa,kuna bwana mmoja naye alikuja pia kuwafariji wafiwa,huyu bwana alikuja na kijiko chake na ndizi mbivu moja,nadhani ni maandalizi ya...
Kuna mzungu mmoja alikuwa anajitahidi kuzungumza kiswahili wakati akitoa mawaidha kwa wanajamii aliyokuwa anafanya nao kazi. Ilikuwa hivi ''Jamani pandaneni ninyi kwa ninyi, kila mmoja ampande...
Kijana mmoja wa shule ya msingi alijikuta akila bakora kwa kumsaidia ndugu yake asiumwe na mbwa karibu ya shule yao mwl alikuwa karibu alipomsikia yule mfz akimtahadharisha kaka yake anaeitwa Wato...
Kijana mmoja mtanashati alipata kazi sehemu moja, jina kapuni. Lakini wenzake walimtonya kuwa bosi wa sehemu iliyo anapenda kuwafanyizia wenzake vibaya.
Kutokana na taabu ya maisha kijana...
Kuna Imani kwamba Kadiri Mtu Unaponyoa Ndevu sana ndipo ndevu na Zenyewe zinaota sana na Ukiendelea Kunyoa sana Ndevu na Zenyewe zinazidi kuota hata kuweka alama Nyeusi isiyopendeza Kidevuni...
Unajua moja ya burudani kubwa humu JF ni majina bandia ya watu na tu-avatar vyao.
Kwa mfano:
Bubu ataka kusema
Msemaovyo,
n.k
Mod unaweza kutupa (paste) hiyo list yote hapa tuvunje mbavu...
Tunajua kuwa duniani kuna wanawake na wanaume!
Hakuna maendeleo yanayoletwa na kundi moja!
Na kudharau kundi moja ni kupunguza kasi ya maendeleo!
Sasa, hapa2 home of great thinker kauli kama...
DO NOT CHEAT AND LOOK AT ANSWERS!!!
WORLD'S EASIEST QUIZ
(Passing requires only 4 correct answers)
1) How long did the Hundred Years' War last?
2) Which country makes...
Habari ambazo hazijathitishwa zimeaarifu kuwepo kwa jaribio la kutaka kumuua Rais wa wananchi Dr wa Ukweli Slaa ,ninaposema rais wa watanzania nina maanisha Dr Slaa ,Kikwete ni Rais wa kichina...
Mwenyekiti wa serikali ya kijiji hicho, Matena Mwikwabe alidai kuwa wananchi wamekosa imani na Serikali ya CCM kutokana mfululizo wa matukio tangu ndugu zao walipouawa. Diwani wa Kata ya...
Mzee mmoja alitokea kumwamini sana mkewe ya kwamba si malaya. Ingawa kuna baadhi ya watu walimuhakikishia kuwa kuna jamaa huwa anamchukua na kwenda nae guest house hakuamini.
Siku moja wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.