Kiswahili kigumu jamani embu cheki hii tafsiri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiswahili kigumu jamani embu cheki hii tafsiri

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by SWADO, Jan 17, 2011.

 1. S

  SWADO Member

  #1
  Jan 17, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna mzungu mmoja alikuwa anajitahidi kuzungumza kiswahili wakati akitoa mawaidha kwa wanajamii aliyokuwa anafanya nao kazi. Ilikuwa hivi ''Jamani pandaneni ninyi kwa ninyi, kila mmoja ampande mwenzake''. Alikuwa anamaanisha pendaneni ninyi kwa ninyi kila mmoja ampende mwenzake watu wakashika mbavu zao kwa vicheko.
   
 2. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Duuuu kazi ipooooooooo.
   
 3. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #3
  Jan 17, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Sio kiswahili nadhani ni matamshi/pronunciation ndio tatizo.
   
 4. Mpagama

  Mpagama Senior Member

  #4
  Jan 17, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nafikiri walichocheka hapo ni hiyo concept ya kupandana ndiyo iliyowafurahisha wengi, lakini ni matamshi tu!
   
 5. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #5
  Jan 17, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160

  Tatizo sisi tunapenda na kuendekeza hayo mambo ya kupandana.
   
 6. Ernie

  Ernie JF-Expert Member

  #6
  Jan 17, 2011
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 218
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  No logik!
   
 7. kibhopile

  kibhopile JF-Expert Member

  #7
  Jan 17, 2011
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 1,307
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  kumbe mzungu
   
 8. Y

  Yahabib_1 Member

  #8
  May 28, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  saaaaafi.sana
   
 9. Lighondi

  Lighondi JF-Expert Member

  #9
  May 28, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 585
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Akaendelea kusema "Baada ya kuona kuwa njia zenu za kuenda kwa miguu ni nyembamba sana, tumekaa na viongozi wenu na tumekubaliana tuwaletee mtombo mmoja wa kupasulia haya mawe ili kupanua hizi barabara zenu!!!"
   
 10. Brightman Jr

  Brightman Jr JF-Expert Member

  #10
  May 28, 2011
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 1,233
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mmm......! Tatizo huyo jamaa hakuzingatia maelekezo ya mwl wake.
   
 11. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #11
  May 28, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,293
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  tena kabla ya hubiria hao watu, alisema hv:
  wababa salamu wenu?
  Wamama habari za siku zenu?
   
 12. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #12
  May 28, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  kiswahili ni lugha. Lugha ni sauti za nasibu zilizokubaliwa na jamii flani itumike katika mawasilia. Lugha ina sarufi,ktk lugha kuna mofimu,pia kuna vitu vinaitwa tungo. Kuna tungo tata,tungo shurtia,changamano n.k. Vyote utokana na aina nane kuu za maneno. Mohammed hoja yako inanasa wapi ktk utaratibu huu?
   
 13. Y

  Yahabib_1 Member

  #13
  May 28, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hahaha
   
 14. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #14
  May 28, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Tatizo le2 tunaendekeza mambo ya kupandana LAKINI nafikiri ita2garimu cku cnyingi.
   
 15. h

  heriedo Member

  #15
  May 28, 2011
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nadhani wote walielewa, ila kwa kuwa mawazo ya wabongo ni ya kingonongono tu ndo maana wote walicheka.
   
Loading...