Chama cha mapinduzi kinaelekea ukingoni mwa maisha yake kisisa. Hii inatokana na ukweli kwamba chama hiki hakina umakini wowote na raia wake tena saula ambalo limewakatisha raia tamaa na si kukata...
Siwasikii tena makada hawa wawili wa CCM katika harakati hii ya kujivua gamba kwa chama chao.
Nini kimewafunga midomo? Sitta kukosa uuspika au Malechele kushindwa ubunge? Au wameona kushindana na...
Niliwashangaa mlio andika jana na kunishambulia kwa u junior wangu ila ukweli ni kwamba wamechakachua my first acc,kama hamtaki watu wa ccm humu ndan mseme....KIDUMU CHAMA TAWALA
Pindi kimeisha toka sa sita ila lecturer kakomaa bado anafundisha tuu, afu mi natakiwa nkapitie mara ya mwisho notes coz nina pepa badae, cjui niinuke ntoke?
Dear Sir/Madam,
I refer to the recent death of the Technical Manager at your company and wish to apply for the replacement of the dead manager.
Each time I apply for employment I am told there...
From Yaoo friends
Which is the most Dangerous
Letter in English ??
The Answer is "W"...as in Wrong
"W" is a tension generator...
because all the worries and troubles get begins with...
Habari za asubuhi wapendwa,
Leo nimeamua kuja na swali hili kutaka kujua shimo gani la barabarani linalokukera. Mimi binafsi nakerwa sana na shimo lililopo makutano ya barabara ya bibi titi...
Which is the most Dangerous Letter in English?
The Answer is "W"...as in Wrong
"W" is a tension generator...
because all the worries and troubles get begins with "W"...
Who ? Why?
What ...
11
NYOTA ya spika wa zamani wa Bunge la Jamhuri, Samwel Sitta imezimwa, MwanaHALISI limeelezwa.
Sitta, ambaye Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilitegemea akibebe katika kugombea urais mwaka...
Serengeti Breweries ni mdhamini wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars. Clouds fm ni mmoja kati ya waandaji eti wa kitu kinachitwa tamasha la uzalendo. Leo Serengeti Breweries eti ndio...
Dunia Sasa Imani imekwisha ppapaappapraa Si kwa wakubwa eeehh! si kwa watoto papapapprrrpaaarrraa Mioyo ya watu Imebadirika ppiippiipwepeee Kwenye watu Kumi Binaadamu Mmmojaa!! Wote Tunakwenda...
:dance:
One cool evening Death came to a guy and said "my friend, today is your day".
The guy said, "but I am not ready".
Death said, "well you are the next on my list".
So the guy told...
Kuna wanandoa walikubaliana kuwa, wakiwa pamoja na watoto au watu wengine, na wakataka kwenda kupeana ULODA chumbani waseme wanataka kwenda KUPIGA SIMU
Basi siku moja baba akawa na hamu...
Nikichekesho kweli...!
Bill Gates organized an enormous session to recruit a new Chairman for Microsoft Europe.
5000 candidates assembled in a large room. One candidate was Urio, Tanzanian...
Mchaga mmoja alidondokea kwenye kisima cha maji akapiga kelele huku anatapatapa, mkewe akaja na kamba mpya akamrushia. Mumewe akauliza; "Umenunua shilingi ngapi?" Mke akamjibu " Buku" akamwabia...
Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.
Vipi huko mpenzi wangu?
UNAENDELEAJE? Unajiandaaje kwa Krismasi teh teh? Maana hapa utadhani Krismasi ni kesho tu.
Kila...
Kiulikuwa na wanawake 3 ambao walinunua ice creame {Ballcone} wa kwanza alikuwa anainyonya, wa pili alikuwa anailamba, na wa tatu alikuwa anaimung'unya! Swali, Je! utamjuaje kati ya hawa alieolewa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.