Kulikuwa na jaribio la kumdhuru Dr. Slaa?

lwangwa

Member
Joined
Sep 8, 2010
Posts
90
Reaction score
1
Habari ambazo hazijathitishwa zimeaarifu kuwepo kwa jaribio la kutaka kumuua Rais wa wananchi Dr wa Ukweli Slaa ,ninaposema rais wa watanzania nina maanisha Dr Slaa ,Kikwete ni Rais wa kichina wa Tume ya uchaguzi ambaye alichakachua matokeo ya uchaguzi na kuingia ikulu kama wa china wanavyochakachua bidhaa feki.

Jaribio hilo kwa mujibu wa vyanzo nyeti vya habari kutoka kwa baadhi ya makada wa sisiemu zinasema ,machafuko ya tarime yamekuwa ni mtaji wa kisiasa ukilenga kumwondoa Dr Slaa ,kama dr Slaa angeleenda huko tarime basi angekutwa na kitu kibaya .inasemekana kuliandaliwa mpango mahususi wa kumwangamiza kwa njia ya sumu ambayo ingempata dr Slaa angenza kuchanganyikiwa kama kichaa.

katika mpango huo ambao wengi wameulaani wanasema kama dr slaa atakufa ndani ya kipindi kabla ya 2015 ama zaidi ya hapo kwa njia yoyote ile basi machafuko makubwa yatatokea .
 
Jamani tusigeuze Jukwaa la Great Thinker Kijiwe cha Kahawa......modem fanye kazi yenu vinginevyo ukumbi huu soon utapoteza heshima na muelekeo wake!
 
jamani angalieni munayo yaandika.mimi simo.ujue dr.ni rais nje ya serikali na ana wafuasi.
 
i vizuri kuwa na akili tulivu unapo soma kitu ,kielewe kwanza kuliko kukimbilia kujibu ukiwa hujaelewa vuta pumzi ,taarifa hizo zimedai kuwa hazijathibitishwa sasa ukitaka data tunaendelea kutafuta data ,tunajua hapa sio kijiwe cha kahawa tunafahamu kuwa hapa ni mahali pa fikra pevu ambapo yanapatika na majibu ya maswali yaliyoshindikana
 
Unajua Rais wa watanzania na Rais wa Tanzania ni watu wawili tofauti. Sasa hilo Taifa la watanzania liko wapi? Rais wa Tanzania anafahamika , hana jina kama hilo na hakuna tishio lolote la kumwua.
 
Jamani tusigeuze Jukwaa la Great Thinker Kijiwe cha Kahawa......modem fanye kazi yenu vinginevyo ukumbi huu soon utapoteza heshima na muelekeo wake!

ushauri mzuri sana,sijui kama utazngatiwa,hope ujumbe umekwenda
 
Watz wanaroho ngumu sana kama si ujinga! Viongozi wengi wenye upeo na makamanda wa mageuzi wameuawa na usalama wa taifa lakini sasa sauti za wanamapinduzi zinapaa na usalama wa taifa(ccm) wanahangaika kuzizima!! Kamwe alama za nyakati hawaziwezi!!!

Wakeendelea tutatoa idadi ya waliouawa na usalama wa taifa na ushahidi kamili
 
Habari ambazo hazijathitishwa zimeaarifu kuwepo kwa jaribio la kutaka kumuua Rais wa wananchi Dr wa Ukweli Slaa ,ninaposema rais wa watanzania nina maanisha Dr Slaa ,Kikwete ni Rais wa kichina wa Tume ya uchaguzi ambaye alichakachua matokeo ya uchaguzi na kuingia ikulu kama wa china wanavyochakachua bidhaa feki.

Jaribio hilo kwa mujibu wa vyanzo nyeti vya habari kutoka kwa baadhi ya makada wa sisiemu zinasema ,machafuko ya tarime yamekuwa ni mtaji wa kisiasa ukilenga kumwondoa Dr Slaa ,kama dr Slaa angeleenda huko tarime basi angekutwa na kitu kibaya .inasemekana kuliandaliwa mpango mahususi wa kumwangamiza kwa njia ya sumu ambayo ingempata dr Slaa angenza kuchanganyikiwa kama kichaa.

katika mpango huo ambao wengi wameulaani wanasema kama dr slaa atakufa ndani ya kipindi kabla ya 2015 ama zaidi ya hapo kwa njia yoyote ile basi machafuko makubwa yatatokea .

Mauti ni ya kila mmoja, yaani wewe, mimi na yule. Kile kiumbe chenye uhai, lazima mauti yakikute.

Unataka kusema, ata Mwenyezi Mungu akimuita kwa mapenzi yake, basi wale watakao kuwa hai wakutwe na machufuko? Dr. Slaa ni mchungaji wa kondoo wa Mungu, kama alivyo Rais Kikwete, wewe na mimi na yeyote awaye. Unampangia Mungu ni lini amuite mchungaji wake?

Dr. Slaa, wewe, mimi na yeyote awaye tutapita na Tanzania itaendelea kuwepo na kushamili zaidi.

"Tanzania bila CHADEMA na Dr. Slaa inawezekana:mod:"
 
Hizo zawezakuwa ni tetesi tu,ila humu ndani wamo watu wa Intelijensia wa CDM,wanaweza wakatoa info zozote kwa umma kuhusiana na hilo!!
 
Hivi kuna urgency yeyote ya kuleta hiyo taarifa ambayo haijathibitishwa kabla ya kuleta hizo "data" unazozitafuta? Ungezisubiri kwanza hizo data ungepungukiwa kitu gani?
i vizuri kuwa na akili tulivu unapo soma kitu ,kielewe kwanza kuliko kukimbilia kujibu ukiwa hujaelewa vuta pumzi ,taarifa hizo zimedai kuwa hazijathibitishwa sasa ukitaka data tunaendelea kutafuta data ,tunajua hapa sio kijiwe cha kahawa tunafahamu kuwa hapa ni mahali pa fikra pevu ambapo yanapatika na majibu ya maswali yaliyoshindikana
 
MODs are you serious! Is Slaa a president of TZ? The insanity entered here. For your information, the Loser Dr. SLAA will never be a president of Tanzania.
 
Je, unauhakika na unayoyasema..??

Je, ukiombwa ushahidi wa hayo uliyoyasema utautoa..??:mod:

MODs are you serious! Is Slaa a president of TZ? The insanity entered here. For your information, the Loser Dr. SLAA will never be a president of Tanzania.

u r so silly! Who said dr Slaa is president of Tanzania? Is not. But people name him president of TanzanIANS. Surely,really and true,he remains in souls of TanzaniANS as a presiding figure.
 
Back
Top Bottom