ezeckielj
New Member
- May 25, 2011
- 2
- 1
Jamaa mmoja alikuwa akibishana na mkewe chumbani, mabishano yalikuwa hivi;
baba: Mke wangu wewe ni mwoga sana.
mama: hapana, wewe mume wangu ndio mwoga kuliko mimi.
baba: wewe ndo mwoga, mbona mbishi?
mama: wewe ndo mbishi, mwoga kama nini!
Mwafaka haukupatikana, wakatoka chumbani, kufika sebuleni, wakakuta watoto wanaangalia Tv, baba akaanza,
baba: eti nyie watoto, kati ya mimi na mama yenu nani mwoga!
watoto wote kimya, mmoja mdogo wa mwisho akajibu,
mtoto: baba wewe ndo mwoga.
baba: kwanini umesema hivyo!
mtoto: baba, we mama akisafiri unamwambiaga dada(msichana wa kazi) mkalale wote eti unaogopa kulala mwenyewe, wakati wewe ukisafiri mama analala mwenyewe!
baba ikabidi aangalie chini, mama kawa mwekundu. kilichofatia hapo, unakijua!!!ound: