Mzee amkana mkewe!

Mzee amkana mkewe!

Hmaster

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2010
Posts
346
Reaction score
86
Mzee mmoja alitokea kumwamini sana mkewe ya kwamba si malaya. Ingawa kuna baadhi ya watu walimuhakikishia kuwa kuna jamaa huwa anamchukua na kwenda nae guest house hakuamini.
Siku moja wakati jamaa mzee amekwenda kazini yule mwizi akafika nyumbani kwake na kuondoka na yule mwanamke hadi GH. Watu walipoona picha hiyo wakampigia simu yule mzee aje afumanie, akaja. Kwa vile alitaka kuamini kabla ya kufanya furumai wale jamaa walimwambia achungulie dirishani ili aone mme mwezie anavyomfaidi mkewe. Mzee alifanikiwa kuona vizuri wapenzi wakisakata goma kwenye kitanda lakini akawaambia wale jamaa kwamba yule si mke wake. Walipomuuliza kwa nini anamkana wakati ni kweli mkewe yule mzee alijibu "sijaona vizuri sura ya yule mwanamke lakini kwa namna alivyokunjwa ile miguu kwa mbele lazima atakuwa ni mlemavu wa miguu kwa vile ni kama haina mfupa". Wale jamaa walimcheka na kumwambia ni style ile na akitaka asubiri baada ya round 1. Alipokwenda kuchungulia tena ghafla alianguka chini hadi wa ndani wakastuka, alizimia alipomwona mkewe amemlalia jamaa kifuani!
 
hahahahahahahah,hi kali mkuu
 
Ni nomaa teh teh inaonyesha jamaa hna style ndo maana mamaa kapenda kukunjwa vle
 
Kuna mtu aliitiwa namna hiyo ile kupiga chabo akakuta mkewe analiwa J.I.C.H.O jamaa akapiga kelele pale pale hapana kaka mimi huko sijagusa achaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
jamaa bila shaka alikuwa anamla tigo mke wa mtu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom