CCM Tarime yaigeuzia kibao serikali ya CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM Tarime yaigeuzia kibao serikali ya CCM

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Candid Scope, May 27, 2011.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  Mwenyekiti wa serikali ya kijiji hicho, Matena Mwikwabe alidai kuwa wananchi wamekosa imani na Serikali ya CCM kutokana mfululizo wa matukio tangu ndugu zao walipouawa. Diwani wa Kata ya Kibasuka, Suleimani Moya (CCM), alikiri kufika kwenye msiba wa Emmanuel Magige na kueleza kuwa hali kwa wapiga kura wake siyo nzuri na kuvilalamikia vyombo vya dola.

  “Mimi ni diwani wa CCM, lakini kwenye ukweli nalazimika kuusema. Vifo vya watu hawa lazima halmashauri tutoe tamko, maana wanaokufa niwapiga kura wetu, kisha zinatolewa lugha zisizo nzuri,”alilalamika.

  Mwananchi
   
 2. MANI

  MANI Platinum Member

  #2
  May 27, 2011
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,236
  Likes Received: 1,552
  Trophy Points: 280
  Palipo na ukweli uongo hujitenga siku zote maana wanaona ndio wanaolalamika.
   
 3. g

  gambatoto Senior Member

  #3
  May 27, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :A S 103: Patamu hapo. Ukweli utabaki kuwa Ukweli, Serikali ya CCM haiko Smart
   
 4. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  Ilivyo vigumu mwanakijiji kufuta fikra alizo nazo kwa viongozi dhidi ya mauaji ya kinyama, labda kanga, na kofia tu ndivyo watakavyopokea.
   
 5. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #5
  May 27, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,228
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  kumbe wanajua?
   
 6. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #6
  May 27, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,601
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  :mimba::mimba::mimba:ingine kwa magamba!!!
   
Loading...