Husninyo husninyo!

hahaha mi nlikushangaa siku ile ulivyosema itamchukua muda kumtoka akilin,si hiyo hata masaa 90 hayajaisha ishamtoka,

I really hope alipoomba copy ya Avatar ulimnyima.... bora tu Hisninyo aweke ya mkaka tuone stand itakua vipi....lol
 
I really hope alipoomba copy ya Avatar ulimnyima.... bora tu Hisninyo aweke ya mkaka tuone stand itakua vipi....lol

yaani hapa ndo nlikua najiandaa kumpatia hiyo copy ndo mara nakutana na hii,,,
nimejikuta nakua kama yule Y wa kwenye thread YA MIM B X NA Y,nimejifunza kuwa mtu akikubeep mpigie mara moja.:biggrin1:
 
yaani hapa ndo nlikua najiandaa kumpatia hiyo copy ndo mara nakutana na hii,,,
nimejikuta nakua kama yule Y wa kwenye thread YA MIM B X NA Y,nimejifunza kuwa mtu akikubeep mpigie mara moja.:biggrin1:

lol............lol...............lol

mwishoni nikaanza kujilaumu umbea nilomwaga mle ndani (in red) ....
Alafu kuhusu kubeep.. personally siwakubali sababu inaonesha they are not confident...
Mi nataka mtu apige kabisaaa...
 
Duh! rafiki yangu spanish lady ana mkosi wa kupendwa na masharobaro kwanza alianza Figganigga na sasa kaingia Sharohiphop
 
Duh! rafiki yangu spanish lady ana mkosi wa kupendwa na masharobaro kwanza alianza Figganigga na sasa kaingia Sharohiphop

thubutu! sharohiphop ampate wapi?husninyo+figganigga ni A-Z yaani mwanzo mwisho.sharo ajaribu kusogeza pua aone. naandamana mwenyewe kwa mguu hadi ofisi za jf kushinikiza apigwe ban.upo si utanisindikiza?mia.
 
Jaman Asha D, lizzy naombeni mnielewe kuwa mchecheto kwa bibi yangu Cheusi mangala bado uko palepale, hus nilikuwa namshauri aweke avatar yake kwa niaba ya wengine ambao hawana. Sio kwamba nimezima kwingine!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom