Adhabu za maonevu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Adhabu za maonevu

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by mwl, May 28, 2011.

 1. m

  mwl JF-Expert Member

  #1
  May 28, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 588
  Trophy Points: 180
  Kijana mmoja wa shule ya msingi alijikuta akila bakora kwa kumsaidia ndugu yake asiumwe na mbwa karibu ya shule yao mwl alikuwa karibu alipomsikia yule mfz akimtahadharisha kaka yake anaeitwa Wato kwa kumwambia "Wato mbwa x2. Mwl bila hili wala lile alimla viboko yule mfz.
   
 2. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  hii uonevu kabisa..... Mtoto ana haki ya kusikilizwa.
   
 3. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #3
  May 28, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Du! hatari adhabu zingine bana
   
 4. Y

  Yahabib_1 Member

  #4
  May 28, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Da mwlm.alizan kuna mtu anakanyagwadu
   
Loading...