An inspirational speaker said:Best years of my life were spent in the arms of a woman, who wasnt my wife.
Audience was in shock and silence.
He added:She was my mother
A big round of...
kampuni ya ugavi wa umeme tanzania TANESCO,wametangaza rasmi kununua mitambo maalum ya kukatia umeme,kwani mgao haukatiki sehemu zingine kama jeshini,hospitalini na idara nyeti za serikali,mitambo...
HILI NALO NENO
NI MTAZAMO TU USIJENGE CHUKI NA MIMI - Hivi kwanini baada ya kushinda Gym kutengeneza huo mwili wako kwa ajiri ya kuwatamanisha wanawake kwanini usitumie huo muda kutafuta maisha...
Mteja anakuja ofisini kwako, nawe unamkaribisha vizuri sana, una concentrate kumsikiliza shida yake mara ghafla simu yake inaita kwa sauti ya juu, anapokea tena bila kuomba msamaha, anaongea kwa...
weekend ndo hiyo jamani!.
karibuni kijiwe cha WHY NOT if NOT na unaweza kumalizia siku yako kijiwe cha WHO TOLD YOU kama unataka kuwa uelekeo wa tegeta!! ukapate chochote upendacho.
Foleni...
Mfadhili wa Chaguzi za Chama amebwaga manyanga
Kilichobaki ni kumkamua kila Mtanzania 50bil, za 2015 zipatikane.
Kaeni mkao wa Kuchangia Chama haijalishi kama wewe ni CDM, CCM au CUF lakini...
Mother asks little Johnny, as they wait for the bus, to tell the driver he is 4 years old when asked because he will ride for free. As they get into the bus the driver asks Johnny how old he is...
Mlevi wa kupindukia anafanya mapenzi na mkewe akamwambia,inakuwaje leo maziwa yamekuwa makubwa na chuchu hazionekani?
MKE: Wewe acha upumbavu unaramba makario!!!!!
Kuna jamaa mmoja aliota amekufa, alipofika mbinguni akaambiwa kama anataka kurudi duniani achague mambo mawili. Arudi akiwa KUKU au PANYA.
Jamaa akachagua awe kuku. Akaambiwa kama awe kuku basi...
Haya tena! Ya kweli haya?
Kama nimeulizwa mtihani nitaje wapi hapo, nitajibu hii tarime tuu kwa sababu zifuatazo:
Huko ngumi ni sehemu muhimu ya maisha.
Hawaoni haya
Huwa ni warefu...
Wandungu,
Nimekumbuka sana enzi zile kijijini. Mpira munasikiliza kwenye Radio Tanzania tuu! Na vipinde vingine.. Majira, asubuhi njema, misakato, mchana mwema, club rahaleo show, jioni njema...
Nilitembelea kituo cha watu wenye upungufu wa akili (mimi nikiwa mmoja wao, hahaha).
Nikamwuliza mdhamini wa kituo:
"Hivi mnaamuaje kuwa mtu anastahiki kulazwa hapa?"
"Tunachofanya n hivi...
serikali inatarajia kupeleka mswada wa sheria ya maandamano itakayo tamka kuwa maandamano yoyote yatakayofanyika ni lazima waandamane kwa zaidi ya 120km chini ya hapo waandamanaji watakabiliwa na...
Nimetumiwa hii joke na rafiki. Inawezekana umekwishaisoma, lakini haina madhara kuirudia. Inatukumbusha kuwa Tanzania na watu wake chini ya uongozi uliopo ni nchi ya namna gani. Soma zaidi...
It...
A lesson on how consultants can make a difference in an organization.
Last week, we took some friends to a new Indian restaurant, 'Muthu's Place,' and
noticed that the Indian waiter who took our...
Katika kinachoonesha uzanzibara na uzanzibara badio unautafuna mbunge mmoja wa zanzibar alifurahisha watu pale aliposema ndugu zanguni hili sio jeshi la tanzania hili ni jeshi la tanzania bara...
Wachunguzi wa gonjwa sugu la malaria kutoka ifakara health centre wakiongozwa na doctor okumu,wamegundua kuwa soksi chafu zinazonuka uvundo zafaa katika mapambano dhidi ya malaria.Ule uvundo wa...
hawa manesi wauguzi, wakunga wetu humu mahospitalini.... wanatatiza
mfano.. ishu ya mtoto mchanga baada ya kuzaliwa ile omniotic fluid ikipata hewa inaganda hasa kichwani (utosini) wao humtuhumu...
Jana R A katangaza rasim kuachia nyazifa zote ndani ya ccm na kubakiza uwanachama wa ccm nawaomba wa nannchi wenzangu tujiulize? kwanini? Anajiuzuru kumetokea nini? cdm wameibuwa uozo mwingi juu...
Katika darasa ya saikolojia mada ikiwa afya ya akili, mada ikiwa manic-depression hali ya mtu kufurahi na kuhuzunika kupita kiasi), mwalimu aliuliza:
"Taja aina gani anayetembea mbele na kurudi...