Shinto
JF-Expert Member
- Dec 6, 2010
- 1,781
- 98
Wandungu,
Nimekumbuka sana enzi zile kijijini. Mpira munasikiliza kwenye Radio Tanzania tuu! Na vipinde vingine.. Majira, asubuhi njema, misakato, mchana mwema, club rahaleo show, jioni njema, kahawa ni mali, tuimbe sote nk.......
Muna wakumbuka watangazaji hawa?

- Ahmed Jongo
- Salum Mkumba
- Omar jongo
- Christine Chokonogela
- Tumbo Tamimu Risasa
- Salum Mbonde
- Juma Ngondae
- David Wakati
- Julius Nyaisanga
- Abdalla Mlawa