Chemsha bongo

MAMMAMIA

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
3,811
1,603
Nilitembelea kituo cha watu wenye upungufu wa akili (mimi nikiwa mmoja wao, hahaha).
Nikamwuliza mdhamini wa kituo:
"Hivi mnaamuaje kuwa mtu anastahiki kulazwa hapa?"
"Tunachofanya n hivi: Tunajaza majii katika bafu badaye tunampa mgonjwa wetu kijiko, kikombe na ndoo ili achague kifaa kimoja kati ya hivyo cha kutolea maji kwenye bafu. Kwa mujibu wa kifaaa atachochagua, huwa tunajua kama anahitaji kulazwa au la"
Lakini akaniambia kuwa si lazima atowe jibu hapo hapo, anaweza kurudi nyumbani, akatafakari, akauliza watu akitaka, siku ya pili anarejea na kutupa jibu.
Sasa mimi nahisi hili suali lina mtego, naomba wenzangu mnisaidie jawabu, Ungekuwa wewe ungetoa maji kwenye bafu kwa njia gani?Nisaidieni tafadhalini nina siku moja tu. Nitapita baadae kukusanya jawabu zenu.
 
Hilo bafu lina mlango wa juu kama tenki nini? Maana masalia ya maji bafuni huondolewa
kwa tambala la deki au fagio. Ha ha ha haaaaaaa! You are very clever!
 
Hilo bafu lina mlango wa juu kama tenki nini? Maana masalia ya maji bafuni huondolewa
kwa tambala la deki au fagio. Ha ha ha haaaaaaa! You are very clever!
Naelewa kuwa bafu kwa wengi wetu ni chooni tunakokoga, lakini pia, bafu (bath) ni chombo cha kukogea ambacho mara nyingi kinakuwa kama mtumbwi na kinaweza kujazwa maji.
Bado swali lipo, katika chombo hicho kilichopo katika picha, kama kitajazwa maji na umepewa kijiko, kikombe na ndoo, utayatoa vipi?
 
Attachments

  • baths[1].jpg
    baths[1].jpg
    7.6 KB · Views: 39
Bado ipo njia rahisi zaidi ya hiyo. Tip, dont use any aparatus outside the bath itself.
 
unarukaruka ndani ya hilo dude...maji yataisha...
oooh..ama ulitoboe kwa chini kwa kutumia kijiko!!!
 
Kwa sababu umesema tuchague kifaa kimoja tu,mimi nitachagua KIJIKO.Ndoo na kikombe ni vikubwa kuliko kijiko na haviwezi kuondoa mpaka tone la mwisho la maji from the bathtub,at least kijiko kinafaa!
 
Hilo bath alina outlet?
X-Paster, mabafu yote yana "outlet" au kizibo. Kwa hivyo hakuna haja ya kutumia chombo chochote kuyatoa, unaondosha "kizibo" kazi kwisha.
Nawahurumia walioumiza vichwa kutafuta njia ya kuyatoa. Washukuru hawakutoa jawabu mbele ya mkurugenzi wa kituo cha wenye upungufu wa akili.
 
X-Paster, mabafu yote yana "outlet" au kizibo. Kwa hivyo hakuna haja ya kutumia chombo chochote kuyatoa, unaondosha "kizibo" kazi kwisha.Nawahurumia walioumiza vichwa kutafuta njia ya kuyatoa. Washukuru hawakutoa jawabu mbele ya mkurugenzi wa kituo cha wenye upungufu wa akili.
Ahahahahah! Pasua kichwa
 
Anyway,gud answer!:It is like,(QUESTION):How can you manage to shoot two antelopes using a gun with only one bullet?(ANSWER)I will borrow some extra bullets from my friend! .Hili swali nilishalishuhudia katika mashindano ya vyuo mbali mbali ya ZAIN AFRICA,(QUESTION):How can you drain the bathtub by using only one apparatus among these 3 apparatuses;a spoon,a cup and a bucket?.Some gave the answer similar to yours(MAMMAMIA),but it was strictly required to choose 1 among these 3 apparatuses!and the final was the SPOON because at least with it you can manage to drain till the last drop of water from the bathtub!I respect your answer anyway.
 
That's nice Jaguar! I too respect the others' answers In my brain storming, I provided a tip which excluded that restriction.
"All roads lead to Rome".
 
That's nice Jaguar! I too respect the others' answers In my brain storming, I provided a tip which excluded that restriction. "All roads lead to Rome".
Thanks,mi ndo nilitumbukia kwenye dimbwi la maji machafu,sikugundua hiyo tip yako!
 
X-Paster, mabafu yote yana "outlet" au kizibo. Kwa hivyo hakuna haja ya kutumia chombo chochote kuyatoa, unaondosha "kizibo" kazi kwisha.
Nawahurumia walioumiza vichwa kutafuta njia ya kuyatoa. Washukuru hawakutoa jawabu mbele ya mkurugenzi wa kituo cha wenye upungufu wa akili.
Kwa hiyo nimepatia!?
 
Back
Top Bottom