Kilio Changu kuhusu kujiuzulu kwa Rostam | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kilio Changu kuhusu kujiuzulu kwa Rostam

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mlachake, Jul 15, 2011.

 1. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,920
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  Mfadhili wa Chaguzi za Chama amebwaga manyanga

  Kilichobaki ni kumkamua kila Mtanzania 50bil, za 2015 zipatikane.

  Kaeni mkao wa Kuchangia Chama haijalishi kama wewe ni CDM, CCM au CUF lakini lazima helicopter mbili za CCM zitembee angani 2015.

  Lazima Kila mjinga apewe T-shirts, Kofia na Kanga.

  CCM bila Rostam 2015 ni Ngumu kumeza.
   
 2. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2011
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Kabisa mkuu
   
 3. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #3
  Jul 15, 2011
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  One thing you should know is that hakuwa anatoa hela zake, ufadhili huo ilitokana na hela zetu alizopewa kwa njia ya wizi akazipeleka kwenye chaguzi na yeye akabaki na hela karibu kama zilezile alizotoa kwenye chama , ambazo yeye alipewa kama asante ya kujitokeza kuiba.
   
 4. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #4
  Jul 15, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kwani Rostam alisema kaondoka CCM?
   
Loading...