Mambo ya tarimeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Mambo ya tarimeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Jewel

Senior Member
Joined
May 1, 2008
Posts
181
Reaction score
66
Haya tena! Ya kweli haya?



Kama nimeulizwa mtihani nitaje wapi hapo, nitajibu hii tarime tuu kwa sababu zifuatazo:

Huko ngumi ni sehemu muhimu ya maisha.
Hawaoni haya
Huwa ni warefu
Huwa ni wembamba
Wana sura za kiafande
Nani anabisha?
wanaotoka Musoma mpo???

Mashaidi zangu akina nshomire kutoka Kagera na akina ngosha wataniunga mkono.
 
Back
Top Bottom