Mazingaombwe ya ccm na kujivuwa gamba

Mufiyakicheko

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
892
86
Jana R A katangaza rasim kuachia nyazifa zote ndani ya ccm na kubakiza uwanachama wa ccm nawaomba wa nannchi wenzangu tujiulize? kwanini? Anajiuzuru kumetokea nini? cdm wameibuwa uozo mwingi juu ya ufisadi unao fanywa na viongozi wa ngazi mbalimbali ccm ikiwemo r a kahusiswa na ufujaji wa kodi za watanzania kinacho ni shangaza watu wanamusifia na ku muita shuja jee inatosha tuu kujivuwa hilo gamba au ccm na selikali yake ni shujaa juu ya hilo? mimi sikubaliani kunadesituli inatuumiza sana watendaji wa selikali wakiiba mali za uma wengini huhamishiwa wengine ndo kama hivi wanajivuwa gamba akiwa amejilimbikizia mali selikali tuiwajibishe r a asipo pelekwa mahakamani na kuludisha kodi zetu alizo tuibia selikali ya ccm bira maandamano haiendi hili halina ubishi sikwamba na chochea vurugu ninauchungu na mali zetu zinavo liwa na wa chache wa naendelea kulindana pulesha ya maandamano ndo iliyo fanya kuanza kujivuwa magamba tusikubali wasiishie kujivuwa gamba tuu wapelekwe mahakamani tz tuamuke
 
Hili ni changa la macho kwa mara nyingine. Huyu muajemi kabla ya kutangaza kujivua gamba alikweta kuteta na pacha wake mwingine JK kule Serengeti, wabongo na hasa wana CCM msikubali kununua bidhaa hii, ni feki.
 
Hili ni changa la macho kwa mara nyingine. Huyu muajemi kabla ya kutangaza kujivua gamba alikweta kuteta na pacha wake mwingine JK kule Serengeti, wabongo na hasa wana CCM msikubali kununua bidhaa hii, ni feki.
watanzania tuwe wepesi wa kuchanganua mambo tusiwe wepesi wakudanganyika watu nashanga wanasifia si swara la kusifia ingawa kujiuzuru ni hatuwa ya kwanza jee? Hatua 2 itachukuliwa? Watawara wetu walisha jua wa tz wanawafananisha na kuku akinamama wanajua zaidi ukianika mahindi au mtama nk ukimchapa kiboko atakimbia mdakidogo anasahau nakuludi ndomama ccm na selikali yake wanafanya huu usani tunanufaika na nini? Kuhusu kujivuwa gamba au alie vuwa gamba ana hasara gani alisha jikusanyiya mali tunaendeleya kushangilia
 
Ndugu yangu tumekuelewa ingawa kiswahili unachotumia sijui ni cha wapi, au ndo mambo ya kukaa sana ulaya.

Ni kweli haiishii tu kujivua gamba, nadhani sasa Hosea karahisishiwa kazi. Ni rahisi mno kumshtaki mtu raia wa kawaida asiyekuwa na cheo chochote kwenye chama wala serikali. Hosea, Kazi ni kwako.
 
Back
Top Bottom