Katika Pita pita Zangu kwenye blogs mbalimbali nimekutana na hii

ELNIN0

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
4,161
1,460
HILI NALO NENO

NI MTAZAMO TU USIJENGE CHUKI NA MIMI - Hivi kwanini baada ya kushinda Gym kutengeneza huo mwili wako kwa ajiri ya kuwatamanisha wanawake kwanini usitumie huo muda kutafuta maisha yako tena ukiwa kama mwanaume mwenye mawazo ya kuja kuitwa BABA hapo baadae??
Au unadhani hao watoto watakuja kula lijimwili na huo mwendo?? Tubadilike umri na muda Hautusubili wapendwa!!!
By: Rosemary Johannes.. http://kingkif.blogspot.com/

 
Zamu yenu akina baba zangu, si mmezoea kuwasema akina 'ke', tuone upande wa pili wa shilingi picha ikoje hapo.
 
Hivi kwanini baada ya kushinda Gym kutengeneza huo mwili wako kwa ajiri ya kuwatamanisha wanawake kwanini usitumie huo muda kutafuta maisha yako tena ukiwa kama mwanaume mwenye mawazo ya kuja kuitwa BABA hapo baadae??

Au unadhani hao watoto watakuja kula lijimwili na huo mwendo?? Tubadilike umri na muda Hautusubili wapendwa!!!

Kama kuna wanaoshinda Gym kutengeneza miili ili tu kuwavutia wanawake wajirekebishe.
Na kwa wale wanaofanya mazoezi kwa ajili ya kujipa afya nzuri na kujiepusha na unene na vitambi, waendelee na moyo huo.
 
Back
Top Bottom