Wanitatiza hawa... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanitatiza hawa...

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by kisasangwe, Jul 14, 2011.

 1. kisasangwe

  kisasangwe JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 294
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  hawa manesi wauguzi, wakunga wetu humu mahospitalini.... wanatatiza

  mfano.. ishu ya mtoto mchanga baada ya kuzaliwa ile omniotic fluid ikipata hewa inaganda hasa kichwani (utosini) wao humtuhumu mama aliejifungua kua alikua anashiriki chakula cha usiku hadi anakaribia, na kwamba hizo ni sperm. nijuavyo mimi kwenye mfuko ule hapapenyi kitu na ndio maana hata mama mwenye ukimwi hawezi kumwambukiza mwanae ila pale tu wakati wa kujifungua. matokeo yake ni kwamba wanawake wengi wanahofia sana wakiwa kwenye trimister ya mwisho.

  but i heard from one dr kua hizi nani hii husaidia kupata zile contraction haraka kwa waliotimiza time za kujifungua... hapa sasa kwanini wanaomsikiza nesi na dr wasipate utata??? huyu usifanye huyu fanya. na mara nyingi manes ndo wanainteract na hawa kina mama zaidi.

  mhhh huku kwetu uswahilini manesi huwachimba biti waliojifungua kua wasitoe pipi hadi watoto wawe na miezi kadhaa.... eti utambemenda mtoto. mie SIJAPATA UHUSIANO HAPO. na please mwenye maelezo ya hii ishu ya kubemenda atoe msaada wa elimu hapo.

  kitaalam fistula ni matokeo ya uchungu wa muda mrefu na hisababisha kulegea kwa vishipa flaniflani. ila huko vijijini mh tafsiri yake ni mbaya sana. wanaihusisha na mtu ku do kinyume na maumbile. sasa hapo kwanini mama asijifiche ndani bila kwenda hosp.

  nasema wanatatiza tena sana.   
 2. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,108
  Likes Received: 6,584
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo unapingana na manesi na dr. basi uwe mkunga wa jadi wakijifungulia kwako uwape sheria za kwako.
   
Loading...