Chemsha Bongo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chemsha Bongo

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by MAMMAMIA, Jul 14, 2011.

 1. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Katika darasa ya saikolojia mada ikiwa afya ya akili, mada ikiwa manic-depression hali ya mtu kufurahi na kuhuzunika kupita kiasi), mwalimu aliuliza:
  "Taja aina gani anayetembea mbele na kurudi nyuma huku anapiga kelele mwisho wa pumzi zake, dakika moja baadaye anarejea kukaa katika kiti na kuanza kulia kama mtoto mdogo"
  Mwanafunzi mmoja alijibu: "kocha wa mpira wa miguu".

  Unajua aina nyengine ya watu wenye tabia hiyo?
   
 2. WISDOM SEEDS

  WISDOM SEEDS JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 782
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Mh, I will be back...
   
 3. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #3
  Jul 14, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,731
  Likes Received: 8,316
  Trophy Points: 280
  Waziri Mkuu...
   
 4. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #4
  Jul 14, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  anaweza akawa paka jike akiwa kwenye heat
   
 5. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #5
  Jul 14, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Samahani MAMMAMIA,napata jibu moja baya sana na la aibu,kwa kweli siwezi kuliandika hapa!
   
 6. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #6
  Jul 14, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Hii nzuri sana.

  Nimecheka sana. Vishindo vya paka vinaamsha mtaa mzima

  Jaguar Mkuu, umefanya vyema, badala ya kuchekesha au kufunza linaweza kuudhi. So hold up!
   
Loading...