Mbunge amwaga razi bungen | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge amwaga razi bungen

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Pdidy, Jul 14, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,485
  Likes Received: 5,721
  Trophy Points: 280
  Katika kinachoonesha uzanzibara na uzanzibara badio unautafuna mbunge mmoja wa zanzibar alifurahisha watu pale aliposema ndugu zanguni hili sio jeshi la tanzania hili ni jeshi la tanzania bara nasema hivi nawaambiwa nimepita kila kambi kabla ya kuja kusema haya yaani hakuna wazanzibari wanajeshi sasa hilo jeshi la wapi..na sio hivyo hii ni aibu mh mwenyekiti nenda kaangalie wale jamaa pale juu wamejazana manyota kila kona kaulize kama kuna mzanzibar..nauliza walee pale kaulize hata mmoja kama kuna mzanzibar...huu ni uhuni mtupu mnatuletea ooh muungano muungano gani
  wale jamaa wamejazana manyota nani kawaambia wazanzibar awapendi kujazwa nyota ...watu weeeeweee

  hata hivyo alaiibuka mbunge mmoja wa ccm sendeka ole akadai anaombamwongozo kuleeta uzanzibara/bari kutalet a maafa ambayo alishindwa kuyataja na kumuuliza mbona waziri husika wa mambo ya ndani mzanzibari??
  Sipo mchanga wa pwani huo
   
 2. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Wao mdebwedo wataweza kwata?
   
 3. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #3
  Jul 14, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Halua, tende na urojo wataweza kweli kupiga kwata?
   
 4. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #4
  Jul 14, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kwani huyu mh kashanawa uso kweli..
   
 5. T

  Taifa_Kwanza JF-Expert Member

  #5
  Jul 14, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 443
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nahodha na Mwinyi watalifanyia kazi hilo
   
 6. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #6
  Jul 14, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Mbona hakuna Mluguru jeshini mwenye cheo kwani Mluguru sio Mtanzania?
   
 7. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #7
  Jul 14, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,148
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  Kila watu nanyazifa zao,sisi mbona hatumo kwenye jesh lakin tunatikisa kwingine.
   
 8. E

  Edwin Chapa Member

  #8
  Jul 14, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waluguru wapo wenye vyeo
   
 9. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #9
  Jul 14, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,106
  Likes Received: 6,580
  Trophy Points: 280
  Wana bendera yao, wana wimbo wa taifa lao, wana katiba yao na nini vile. lile ni taifa kama mataifa mengine tu.
   
 10. Rugaijamu

  Rugaijamu JF-Expert Member

  #10
  Jul 14, 2011
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 2,833
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Umesahau...Pia wana majeshi yao,KMKM na JKU!
   
 11. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #11
  Jul 14, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,465
  Likes Received: 19,845
  Trophy Points: 280
  wazanzibari wana kila haki ya kujitenga. Zama za ndio mzee zimeshaisha
   
 12. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #12
  Jul 14, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Uliza uelezwe, front line kule kagera walikuwa kina nani? halafu ushawahi kumsikia Kanal Mahfudh? kama hujasikia uliza uelezwe ni nani?
   
 13. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #13
  Jul 14, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,485
  Likes Received: 5,721
  Trophy Points: 280
  nahisi ajuui bei ya kupeleka maiti dar znz kwa ndege yeye anajua wakifa watapanda boti..ajui igaraama zake
   
 14. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #14
  Jul 14, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,485
  Likes Received: 5,721
  Trophy Points: 280
  mmeanza mbona tra akuna wakuria wamekimbilia jeshini wote???
   
 15. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #15
  Jul 14, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,714
  Likes Received: 8,267
  Trophy Points: 280
  Kanali Mahfudh ni nani?
   
 16. jebs2002

  jebs2002 JF-Expert Member

  #16
  Jul 14, 2011
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 4,375
  Likes Received: 2,430
  Trophy Points: 280
  kwanini wasilete referendum? Wailete na wananchi tuchague, kifupi kama mtanganyika hata mie sio umuhimu wa huu muungano, ni kupotezeana wakati tu, hebu kila nchi iwe kivyake halafu tuendelee na maisha.
  Mie nauhakika wataanza kuchimbana wao kwa wao, kwamba nani ni mzanzibari halisi au mpemba halisi, kwaio wahindi, waarabu na wabantu wataanza ngumi!
  Mie naona wenzetu wamekaa kishari mno, sijui wenzangu mnasemaje?
   
 17. g

  gigy New Member

  #17
  Jul 14, 2011
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yeah hawana lolote ka vipi kilam2 kimpango wake....wanajua kupiga domo na kulalamika!
   
 18. A

  Adaha Member

  #18
  Jul 14, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Katika fani yeyote sifa pekee ya kuingia humo ni karama, elimu,kipaji, interest na vigezo vingine.
  Tanapochagua timu ya taifa ya mpira wa miguu tunaangalia sifa za mtu na si kutoka bara au visiwani.
  Wakati wa Nyerere alijua akitaka mtu mzuri wa kutunza fedha anachukua Kilimanjaro, askari mzuri anachukua Musoma, Mbeya na Singida. watu wa usalama wa taifa anachukua Rukwa, Songea na Singida. Wanasheria na ukusanyaji mapato anachukua Kagera na Kilimanjaro.
  Baraza la kiswahili anachuku toka Pwani,Morogoro, Tanga na visiwani. hawa pia walirundikaka Redio Tanzani kuandaa vipindi vya kijaruba.
  Jeshi si sehemu ya watu legelege kama watu wa Pwani na VISIWANI.
  Jeshi si sehemu ya kupeana ajira za dezo.
   
 19. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #19
  Jul 14, 2011
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Pia wana vikosi vya Valantia kama sikosei ni Voluntier. Ukifika Zenj utakuta Uniform za wanajeshi wengi wengi yani vikosi vingine hata sivielewi majina
   
 20. A

  Adaha Member

  #20
  Jul 14, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hawa wenzetu wa Zanzibar kusema chochote ni jadi yao.
  Chakula chote cha nafaka, mbogamboga, vitoeo, umeme n.k wanategemea toka bara. Je tukitengana hivi vitu wanaweza kuvinunua kwa dola?
  Shida kubwa hapa wamegundua mafuta kwao kwa hiyo hawataki tuchangie nao. Angalia Jeshi la visiwa vya comoro lililopindua inchi lakini walienda wanajeshi wachache tu wa Tanzania na kuwakamata. Hata Zanzibar wakijitenga watakuwa na jeshi legelege.
  Wazanzibari wengi wamejenga bara na wameoa bara. majengo haya lazima wayaache.
   
Loading...