tanesco wanunua mitambo mipya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

tanesco wanunua mitambo mipya

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by snochet, Jul 15, 2011.

 1. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,271
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  kampuni ya ugavi wa umeme tanzania TANESCO,wametangaza rasmi kununua mitambo maalum ya kukatia umeme,kwani mgao haukatiki sehemu zingine kama jeshini,hospitalini na idara nyeti za serikali,mitambo hiyo hahah haha haha kumbe mnapenda eeeeeh?mtauchora huo mtambo hapo chini ili umeme urudi,,,,sasa hivi ni mgao wa giza sio wa umeme tena,,,,mtafurahi,,,,ndo tanzania hii....maisha bora kwa wauza mishumaa
   
 2. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,271
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  people i'm just having a nyc weekend,nawazingua tu
   
 3. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #3
  Jul 15, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Badala ya Kuendeleza vyanzo vya kuzalisha umeme wao kazi ni kununua majenereta, Nchi zilizoendelea wanatumia Majenereta kama backup sasa nashangaa tanzania tunatumia Majenereta wakati vyanzo vya kuzalisha umeme vipo Kibao.

  Tanzania tuna Rasilimali nyingi mno kiasi cha kutufanya tusiwe Ombaomba kama anavyotuaibisha ***** 1 pale magogoni
   
Loading...