Kumbe soksi chafu dili! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe soksi chafu dili!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Jaguar, Jul 14, 2011.

 1. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Wachunguzi wa gonjwa sugu la malaria kutoka ifakara health centre wakiongozwa na doctor okumu,wamegundua kuwa soksi chafu zinazonuka uvundo zafaa katika mapambano dhidi ya malaria.Ule uvundo wa soksi ni harufu kutoka mwili wa binadamu hivyo mbu waipatapo harufu hii,kwa haraka huzivamia soksi na kuzengea hapo muda wote wakidhani kuna mwanadamu around.Kwa hiyo unaweza weka soksi chafu zenye uvundo kwenye kona ya chumba chako cha kulala,mbu wote watajaa huko na wewe utalala salama salimini kwa sababu ukali wa harufu ya soksi unazidi hata harufu ya mwili wako,mbu hawatakuwa na habari na wewe,watakuwa busy na soksi usiku kucha.Pia ukitaka kuwaua,ni rahisi tu,wakishajaa eneo la soksi zenye uvundo ni rahisi kuwaangamiza kwa dawa ya kupuliza.Lakini watafiti wanaendelea kutafuta dawa yenye kufanana na harufu ya soksi zenye uvundo(source,BBCSWAHILI).MALARIA HAIKUBALIKI,TUSHIRIKIANE KUITOKOMEZA!
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,152
  Trophy Points: 280
  Hawa wana sayansi wanataka kuvunja ndoa za watu.
   
 3. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #3
  Jul 14, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Dah! Imeshafika humu?
   
 4. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #4
  Jul 14, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 233
  Trophy Points: 160
  Watu wako 'fasta'....I had an honour of working with Fredros Okumu at IHI, he is a brilliant young scientist (not a doctor yet) with lots of crazy but smart innovations on fight against malaria vector (mosquitos)! Bravo Fredos..
   
 5. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #5
  Jul 14, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Haina kufua soksi!
   
 6. WISDOM SEEDS

  WISDOM SEEDS JF-Expert Member

  #6
  Jul 14, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 782
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Mmmhh! Wenye kunuka miguu watapata dili...
   
 7. kisasangwe

  kisasangwe JF-Expert Member

  #7
  Jul 14, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 294
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  that means net kushusha tena basi..... huuuuureeeeeeee. ila mh? watu watalala kweli.
   
 8. WISDOM SEEDS

  WISDOM SEEDS JF-Expert Member

  #8
  Jul 14, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 782
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Ha ha ha haaaaaaaa!!!!
   
 9. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #9
  Jul 14, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  inabidi watu wakifika baa wavue viatu soksi zinuke uvundo na mbu hawatawang'ata
   
 10. G

  Gwesepo Senior Member

  #10
  Jul 14, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  usifanye hivo mke wako atakimbia
   
 11. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #11
  Jul 14, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Hii habari nimeisoma mahali pengine. Tuseme iwe ni kweli, bado kuna maswali mengi ya kujiuliza.
  Kwa nini zisiwe nguo alizovaa mtu mchana kutwa?
  Ikiwa soksi zinazonuka uvundo ndio "Rungu" kwa mbu ikiwa utaziweka kipembeni, hicho chumba kitakuwa kinakalika kwa uvundo huo?
  Anyway, mimi kwa hili sina la kuchangia saaaana, bora niendelee kusoma michango ya wengine kwanza. "It sounds me too local to be true"
   
 12. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #12
  Jul 14, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  kilevi kitaongezeka kwenye vyupa.
   
 13. N

  Nickbob Member

  #13
  Jul 14, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  kubabake!
   
Loading...