bunge kupitisha sheria ya maandamano 120km

in and out

Member
Jun 30, 2011
69
6
serikali inatarajia kupeleka mswada wa sheria ya maandamano itakayo tamka kuwa maandamano yoyote yatakayofanyika ni lazima waandamane kwa zaidi ya 120km chini ya hapo waandamanaji watakabiliwa na kifungo kisichozidi mwaka 1. chadema mpoooo!!!!!
 
Mwenyekiti kisha ikataa hiyo, leo asubuhi amesema bungeni eti yeye anajitahidi sana kuwazuia wananchi kufanya maandamano!
 
duh.....ngoja waipitishe..2015 si ni hapo tu, na wao si ndio watakuwa chama cha upinzani? Itakula kwao tu
 
Bila hata kuwa mpinzani hayajawahi kuwepo maandamano ya umbali huo TZ na hii ina maana hata CCM wenyewe hawataandamana kwa lolote zikiwemo sikukuu za kitaifa. Mswada huo ukifika utaonyesha waloandika wametokea usingizini
 
serikali inatarajia kupeleka mswada wa sheria ya maandamano itakayo tamka kuwa maandamano yoyote yatakayofanyika ni lazima waandamane kwa zaidi ya 120km chini ya hapo waandamanaji watakabiliwa na kifungo kisichozidi mwaka 1. chadema mpoooo!!!!!

Hivi waha jamaa wana matatizo gani? wao wanajuaje wataendelea kubaki madarakani? hawajui kwamba watz tumesha wachoka na minguo yao ya kijani? Mijizi mikubwa hiyo.
 
Hivi waha jamaa wana matatizo gani? wao wanajuaje wataendelea kubaki madarakani? hawajui kwamba watz tumesha wachoka na minguo yao ya kijani? Mijizi mikubwa hiyo.
Hii thread ipo kwenye jukwaa la Jokes + Utani kwahiyo hapa ni mahali pake,...... kama uko serious hapa umepotea njia, just skip hamna la maana hapa.
 
Tutaandamana umbali wa 12km kuupinga mswada huo, nataka jamii ya kimataifa na watetezi wa haki za kibinadamu watuunge mkono, kama tuliweza kumtoa mkoloni mzungu, wakati ule tulikuwa hatuja elimika wala kujua lolote tutashindwaje kumng'oa huyu mkoloni mweusi mvua gamba la kijani?
 
Mwenyekiti kisha ikataa hiyo, leo asubuhi amesema bungeni eti yeye anajitahidi sana kuwazuia wananchi kufanya maandamano!
Mimi nadhani hii sheriaitakuwa nzuri sana. Badala ya kuandamana mjini maandamano yatahamia vijijini. Mnajipanga mnaanza na waandamanaji kutoka kijiji kimoja, mkifika kijiji kingine wale wa mwanzo wanarudi kwao na hawa wa kijiji kipya wanaunga maandamano. Hivyo hivyo mnaweza hata kuzunguka wilaya nzima. Itakuwa safi sana kwa uhamasishaji.
 
Back
Top Bottom