Weekend Special!!

kanyagio

JF-Expert Member
Dec 10, 2009
1,021
365
weekend ndo hiyo jamani!.
karibuni kijiwe cha WHY NOT if NOT na unaweza kumalizia siku yako kijiwe cha WHO TOLD YOU kama unataka kuwa uelekeo wa tegeta!! ukapate chochote upendacho.
Foleni: usihofu, leo siyo kubwa!
Petroli: usihofu kuna kituo cha mafuta kinauza Tsh. 2030 compared to Engen Mikocheni wanaouza zaidi ya 2150(hawajachakachua; EWURA wameshayapima;au na wewe njoo na densitometer yako upime-- joke).
 
Hahaaaaa leo najisikia kuifurahia weekend,natokea usawa wa bunju naamini ntapita vituo vyote.

thanks uwe na weekend njema.
 
FL1 na chauro, haya bana!! hapa ndo nataka nipige hesabu za wikii zen i go!
 
Hahaaaaa leo najisikia kuifurahia weekend,natokea usawa wa bunju naamini ntapita vituo vyote.

thanks uwe na weekend njema.

Chauro, nipitie Fya Tanga upata nusu mkia! Halafu tutaondoka wote kuelekea Fairway kwa Said (Seidu) kwa ajili ya Bakurutu Time!
 
weekend ndo hiyo jamani!.
karibuni kijiwe cha WHY NOT if NOT na unaweza kumalizia siku yako kijiwe cha WHO TOLD YOU kama unataka kuwa uelekeo wa tegeta!! ukapate chochote upendacho.
Foleni: usihofu, leo siyo kubwa!
Petroli: usihofu kuna kituo cha mafuta kinauza Tsh. 2030 compared to Engen Mikocheni wanaouza zaidi ya 2150(hawajachakachua; EWURA wameshayapima;au na wewe njoo na densitometer yako upime-- joke).

kanyagio, mwambie mmiliki wa Why Not apunguze "nyodo"! Hicho kituo unamaanisha kile karibu na hospitali ya MICO?
 
mashori vipi kanyagio??

karibu wanyoge bar and guest house karibu na kibwegere
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom