Jamaa na ndoto. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamaa na ndoto.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Globu, Jul 14, 2011.

 1. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Kuna jamaa mmoja aliota amekufa, alipofika mbinguni akaambiwa kama anataka kurudi duniani achague mambo mawili. Arudi akiwa KUKU au PANYA. Jamaa akachagua awe kuku. Akaambiwa kama awe kuku basi achukue zoezi la kutaga, jamaa kumaliza kutaga tu kaamka kajinyea kitandani.
   
 2. S

  Shery Member

  #2
  Jul 14, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh! Kafanya kweli.
   
 3. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #3
  Jul 15, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Na kuna jamaa alikuwa amelala na kuota ameokato pesa nyingi za dhahabu. Alijaza mifuko ya suruali bado pesa zipo. Akaamua kuvua suaruali, kule kwenye miguu akafunga vizuri ili iwe kama gunia. Akajaza mihela yote, akaweka "gunia" lake begani kuangukia mgongoni, akaondoka. Akiwa njiani akahisi hela zinadondoka, akapeleka kidole kuzuwia tundu zinapodondokea. Alipostuka akakutia kazamisha kidole kwenye tIgO.
   
Loading...