JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
HOW TO ORDER :: Click - http://high-system.miiduu.com Bose® Lifestyle 235 Home Entertainment System Bose® Lifestyle V25 Home Entertainment System Bose® Lifestyle V35 Home Entertainment System...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwamba kuku-jike anapofukuzwa na jogoo jeusi tii au jogoo lenye rangi mbaya hukimbia sana kuliko pale anapofukuzwa na jogoo jeupe au jogoo lenye rangi nzuri!
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Ni kutoka iringa-Tanzania.Baba mmoja wa kihehe akiwa na mwanawe wakitoka machungani walikuwa wanajaribu kuwavusha ng'ombe wawili (mama ng'ombe na ndama) kukatisha mto.Kila yule mzee alipojaribu...
2 Reactions
12 Replies
5K Views
kwa kuwa uchumba wao ulianza kipindi cha uchaguzi inasadikika kwamba huenda mtoto akaitwa jina la UCHAGUZI ili kuenzi kipindi hicho.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hivi ndivyo walivyo anaongea sana uongo na kujisifu ,kupeleka umbeya kwa mabosi utafikiri ndicho alichosomea ,sijawahi ona mwanaume mwongo kama huyu mgoni hapa,kwa style hii wangoni wapite mbali nami!
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimeiona hii sehemu.. Nkaona si vibaya nikiileta hapa... Ugeni Mzito. Nina furaha kuwatangaz​ia watanzania​ wenzangu kwamba tuna ugeni mzito siku 2-3 hizi tumetembel​ewa na...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Do you have the guts of telling your thoughts?? Hapo ulipo unawaza nini?? Please share.Iwe kweli lakini.lol oh!! And Please usishangae... This is Chit Chat... P.S: Vigezo na Masharti ya JF...
2 Reactions
176 Replies
12K Views
Ilikua ni majira ya saa 12:30 jioni siku ya ijumaa ambapo mimi na familia yangu tulipoamua kwenda kwa yule mchungaji anayetibu maradhi sugu kwa njia ya upako kutoka kwa Mungu kwa gharama ndogo...
0 Reactions
408 Replies
61K Views
hii ilitokea kwenye basi la kuchua wanafunzi mwanafunzi m1 alimfunika dereva uso gari likiwa spidi na kumwambia otea ni nani?
0 Reactions
10 Replies
1K Views
wanasiana wapatao 40 walikua wanakwenda kijijini kufanya kampeni bahati mbaya gari lao lili pata ajali mbaya njiani karibu na shamba la mkulima mmoja,mkulima kuona hivyo alichimba kaburi la pamoja...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
(MWALIMU):Hii ni siku ya tano mfululizo,kila siku nakuchapa viboko,una lipi la kusema? (MWANAFUNZI):Nashukuru kesho na keshokutwa ni wikiendi i.e(jumamosi na jumapili),hatuji shule!
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Waungwana, nyepesi nilizopata ni kuwa baada ya ziara ya Afrika ya Kusini, Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alipanda ndege mpaka Seattle Marekani kwenda kumtazama Mtanzania Mrisho Ngassa...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Baada ya sakata la Jairo tumejifunza kwamba ukisikia Mbunge wako akiongea kwa uchungu au jazba bungeni ufahamu kuwa anajaribu kuongeza ukubwa wa bahasha lake ukija muda wa mgao.Kigezo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
TEACHER: John, how do you spell “crocodile”? JOHN : “K-R-O-K-O-D-A-I-L” TEACHER: No, that’s wrong JOHN : Maybe it’s wrong, but you asked me how I spell it! TEACHER: What is the chemical formula...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Jesus is the king, because in HISTORY he is the rock of ages, in BIOLOGY he raised the dead from death, in CHEMISTRY he changed water into wine, in MATHEMATICS he balanced 2 fishes and 5 loaves of...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Little Johnny is taking a shower with his mother and says, "Mom, what are those things on your chest!?" Unsure of how to reply, she tells Johnny to ask his dad at breakfast tomorrow, quite certain...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwenye daladala lifanyalo safari zake kati ya Kariakoo na Mbagala kulitokea wizi wa pochi ya mtu mmoja wa makamo,akiwa hajui hili wala lile wakati wa kutaka kutoa nauli walipofika Mivinjeni...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna jamaa mmoja alikua anataka kasuku asiyetukana sasa akaenda posta na akamkuta mshkaji anauza kasuku akamuuliza ebana huyo kasuku niuzie ila ana matusi jamaa akadai hana sasa akataka kumpima km...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nafikiri ndo tunachosubiri awe wingu then maji yamiminike mtera baada ya hapo shida ya umeme kwisha. Source :jk mwenyewe!
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Leo nilifanya Ziara ya Burundi na rafiki yangu na tulitembelea miji ya Mabanda, Makamba na Bujumbura. Kwa kweli wenzetu wamejaaliwa kwa kua na wanawake wazuri. Jamani yaani hadi vijijini unawakuta...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Back
Top Bottom