Tetesi: JK kaenda kumtazama Ngasa!

Manumbu

JF-Expert Member
Oct 28, 2009
1,746
1,282
Waungwana, nyepesi nilizopata ni kuwa baada ya ziara ya Afrika ya Kusini, Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alipanda ndege mpaka Seattle Marekani kwenda kumtazama Mtanzania Mrisho Ngassa akiichezea timu yake dhidi ya mabingwa wa Uingereza, Manchester United. Mheshimiwa Rais alipata fursa adimu ya kuwahutubia watazamani waliofurika uwanjani...akiwakaribisha Tanzania.....!
 
Source?
 
kwa jinsi asivyo na huruma na kodi za walala hoi,anaweza kuwa ameenda kweli,atleast kimyakimya kama sio official...miaka minne iliyobaki tutasonya mpaka tuchoke
 
Achani Topic za Uongo, sisi tulikuwa kwenye Mechi na hakuna JK... this kind of articles zinadhalilisha Jamii Forum; and I really don't like his Rolling Stone Ways...
 
......wherever he lays his hat is his home (the temptations)

It was the third of September.
That day I'll always remember, yes I will.
'Cause that was the day that my daddy died.
I never got a chance to see him.
Never heard nothing but bad things about him.
Mama, I'm depending on you to tell me the truth.

And Mama just hung her head and said,
"Son, Papa was a rolling stone.
Wherever he laid his hat was his home.
(And when he died) All he left us was alone."
"Papa was a rolling stone, my son.

Well, well

Hey Mama, is it true what they say,
that Papa never worked a day in his life?
And Mama, some bad talk going around town
saying that Papa had three outside children and another wife.
And that ain't right.
Hey, talk about Papa doing some store front preaching.
Talked about saving souls and all the time leeching.
Dealing in debt and stealing in the name of the Lord.

Mama just hung her head and said,
"Papa was a rolling stone, my son.
Wherever he laid his hat was his home.
(And when he died) All he left us was alone."
"Hey, Papa was a rolling stone.
Wherever he laid his hat was his home.
(And when he died) All he left us was alone."

Ugh

Hey Mama, I heard Papa called himself a jack of all trades.
Tell me is that what sent Papa to an early grave?
Folks say Papa would beg, borrow, steal to pay his bills.
Hey Mama, folks say that Papa was never much on thinking.
Spent most of his life chasing women and drinking.
Mama, I'm depending on you to tell me the truth.

And Mama looked up with a tear in her eye and said,
"Son, Papa was a rolling stone. (Well, well, well, well)
Wherever he laid his hat was his home.
(And when he died) All he left us was alone, lone, lone, lone, alone."
"Papa was a rolling stone.
Wherever he laid his hat was his home.
(And when he died) All he left us was alone."

"I said, Papa was a rolling stone. Wherever he laid his hat was his home.
(And when he died) All he left us was alone."
 
Jaman hata mimi kuna taarifa nimeiona kwenye blog ya shafii dauda nikactaajabu. Kuhusu taarifa za Jk aka VD na mrisho Ngasa
 
kwa jinsi asivyo na huruma na kodi za walala hoi,anaweza kuwa ameenda kweli,atleast kimyakimya kama sio official...miaka minne iliyobaki tutasonya mpaka tuchoke
Hahahahahahahahahaaaaa! Mheshimiwa kanifurahisha!
 
Waungwana, nyepesi nilizopata ni kuwa baada ya ziara ya Afrika ya Kusini, Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alipanda ndege mpaka Seattle Marekani kwenda kumtazama Mtanzania Mrisho Ngassa akiichezea timu yake dhidi ya mabingwa wa Uingereza, Manchester United. Mheshimiwa Rais alipata fursa adimu ya kuwahutubia watazamani waliofurika uwanjani...akiwakaribisha Tanzania.....!
Bahasha ya JAIRO inafanya kazi.
 
kwa jinsi asivyo na huruma na kodi za walala hoi,anaweza kuwa ameenda kweli,atleast kimyakimya kama sio official...miaka minne iliyobaki tutasonya mpaka tuchoke

Mkuu umenifurahisha sana, nimecheka hadi mbavu zimewasha. Unajua nipepata wazo, tunaweza kufanya kampeni hapa JF ya kumsonya JK. Tuweke siku na time ya kumsonya JK yaani hiyo siku na time vikiwadia popote mtu alipo anasonya, tuiite "Sonya JK Day"
 
kwa jinsi asivyo na huruma na kodi za walala hoi,anaweza kuwa ameenda kweli,atleast kimyakimya kama sio official...miaka minne iliyobaki tutasonya mpaka tuchoke

Mkuu.............unanivunja mbavu mwenzio. Maana hayo maelezo ni ya kweli japo yanachekesha sana.
 
nimesikia clouds pia nikashangaa. hii tabia ya kulaumu mtu akiweka tread tuache. amesema ni tetesi, mbona unalaumu? basi clouds waongo
 
Kwa huyu mkuu wa kaya yetu, hata kama ingekuwa kweli NISINGESHANGAA..!si alienda kupiga picha na real madrid, ndo atashindwa ya man-u
 
Jaman hata mimi kuna taarifa nimeiona kwenye blog ya shafii dauda nikactaajabu. Kuhusu taarifa za Jk aka VD na mrisho Ngasa
shafii dauda ni kweli yupo marekani kikazi kwa sababu yeye ni mwandishi wa habari.inawezekana ikawa kweli.mia
 
Inawekezakana ikawa kweli,maana huyo jamaa hataki kukaa hapa kabisa moto unaweza kumlipukia mda wowote!
 
alikuwepo mi niliangalia kipindi cha mwisho watangazaji wakawa wanashangaa kwa nini ****** yupo pale baadae ndio wakagundua kumbe ni kwa sababu ya dogo. tafuteni hiyo mechi kwenye google ndipo mtajua kama ni uzushi ama lah!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom