i refuse to think
i am depressed today........
Boss i know... i know... and i know you are afraid (minimal guts) to say exactly what...
BUT My aim by the time you leave hapa you feel a bit good... Pole... sasa tell me saizi nini umefikiri...
Okay am thinking ... Ohh I feel Thirsty ngoja niende nikatafute kinywaji...., also I need to watch Apprentice UK Final from You TubeThat is so not FAIR....lol
haya baada ya hapo what are you thinking sasa?
dont dare me challenge like this
nikikuambia exactly what i am thinking now..
hii thread itapelekwa jukwaa la wakubwa na mimi kupewa ban
get it??????????
Mhhhh...Asha,
Mimi hapa nimezama kwenye mawazo mazito...nafikiria jinsi karaha ya umeme ilivyoniondolea hamu ya chakula cha usiku...
Hata hivyo, nani ulikueleza kuwa unaweza kusema lolote unalolifikiria kwa mpenzi wako? Thubutu...kama huwezi kuchagua lipi la kuema na lipi la kufa nalo basi andika maumiivu, na hata kupigwa kibuti ukubwani!!
Asha bana! Haya mawazo tunayowaza "hayaandikiki" lakini siyo kama ya The Boss. Actually amenifanya nicheke. Inaelezwa kuwa more than 70% ya wanaume wanapokuwa kwenye foleni za magari barabarani huwa wanawaza mambo ya "wakubwa." Huu utafiti sijui ni hakika kiasi gani. Sina jeuri ya kusema ninayowaza sasa.. ila ni mambo ya kawaida sana.
Do you have the guts of telling your thoughts??
Hapo ulipo unawaza nini??
Please share….Iwe kweli lakini….lol
oh!! And Please usishangae... This is Chit Chat...
P.S: Vigezo na Masharti ya JF Rules Vizingatiwe….(ADI)
Well dakika hii nawaza kuna kazi natakiwa niifanye na niiikabidhi asubuhi, sasa niifanye sasa (nikiwa nimechoka kiasi) au nilale then niamke saa kumi (4 am) (jambo ambalo ni gumu kidogo kulitekeleza).......
Unfortunately, siwezi kusema ninachowaza sasa kwa sababu kinavunja vigezo na masharti ya JF Rules
Mzee DC umepotea... (au ni mimi tu??) habari yako bana!!
Pole na umeme... yaani umeme ni KERO ambayo hailekezeki.... hata
uvivu kuongelea - infact ni moja ya sababu kurusha huu uzi... lkn ngoja niache...
Hapo kwenye blue.. kumbe mamaa DC tuko nae? mbona hujanitambulisha...lol