pera

pera

pera

Senior Member
Joined
Jul 19, 2011
Posts
148
Reaction score
16
hii ilitokea kwenye basi la kuchua wanafunzi mwanafunzi m1 alimfunika dereva uso gari likiwa spidi na kumwambia otea ni nani?
 
Ndugu pera najaribu tu kukushauri kwa kuzingatia ugeni ulionao jamvini. Jaribu kutafuta title kwa sredi zako badala ya jina lako kama ulivyofanya kwenye sredi kadhaa sasa. Nadhani umenisoma. :A S 103:
 
Kweli kabisa!
 
Back
Top Bottom